Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Me natoa sana tu.Juzi nimempa mmoja 50000/= kiroho safi tu ya mtaji mdada wa watu aliniomba.Sasa muda huu nimekuwa like sihitaji kuwa close na KE yeyote yule sijui kwanini? Sijui na wanaume wengine hali hiyo huwajia?

Aisee mdada anapata tabu sn,simu anapiga huyooo.Me nimemwambia hakuna shida nitakutafuta tu usiwaze, yaniii hanielewi.

Itakuwa ni hivo navo mpa 20000,10000 n.k
 
For sure...wajiweke wazi iwe ni official .... na sio kujificha kwenye kivuli cha mahusiano ....huku wakitumia mwanya huo kujinufaisha ...wanatuharibia vizazi na vizazi
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
 
We jamaa we samcezar, napendaga sana comments zako, una ideology za an "Alpha man" unaanzaga kimasihara ila mwishoni unatengeneza point kubwa sana....nakubali sanaโœŠโœŠโœŠ
 
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
 
Hahahaha halafu kituo mtwara huko nasikia wamakonde sio wachoyo kbs

Sema ndiyo vya wote !

Wenyewe wanakwambia kunnyima ntu dhambi!

Sasa kunnyima huko ndio iwe mpaka K ambayo ni sehemu ya utu wako?!
 
Kuna mmoja kanipa orodha ya mahitaji kama ifuatavyo nikabaki kucheka moyoni( kodi=150k, matumizi ya ndani=150k, ada ya mtoto wake, hajasema kiasi, pesa ya kutuma kwao mama yake anaumwa=100k). Niliamka asubuhi nikaweka 100k katikati ya notebook yake nikasepa mpaka sasa hivi sijapokea simu yake kapiga zaidi ya mara 10 tangu asubuhi ya leo.
 
kabisa mkuu, mm nikishaona binti na hulka za namna hii siku hiyo hiyo anakula block. Mke wangu ataishi maisha mazuri kadri ya uwezo wangu lakini si kwenye mchakato wa kuwa mke.
Wakati wa uchumba sio wakat wa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya mwanamke coz unakua hauna uhakika 100%
 
Ulijitahidi kuweka hata hiyo laki[emoji3][emoji3][emoji3] Kuna mmoja naona anaomba hela kila siku ukimwambia njoo sababu haziishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ