Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Ongeza sauti maa.Haiuzwi wala haitolewi bure.Bila pesa hata nyege haziji na pussy hailowi[emoji2957][emoji2957].

Wanaume wanapenda pisi kali halafu kwenye kuzitunza wanaleta kelele[emoji23][emoji23]
Husikii utamu hata kidogo, kiuno kinakua kizito kama kimefungwa jiwe....ni tabu kwakweli
 
Sisi wanaume, mkitaka kutupatia tukiomba namba hata msiwe na haraka yakuomba pesa we kausha tuu Kama hupendi vile Yani huwa tukiona mwanamke huyu sio mwombaji tunajiongezaga fastaa unakuta na naanza kuwaza na ndoa kabisa nikijua huyu ndio wife material hana tamaa na pesa, najikuta tuu nimekupa laki 5 kwa furaha yakutoombwa mara kwa mara nasema bby kahela ka saloon hako
 
Ongeza sauti maa.Haiuzwi wala haitolewi bure.Bila pesa hata nyege haziji na pussy hailowi[emoji2957][emoji2957].

Wanaume wanapenda pisi kali halafu kwenye kuzitunza wanaleta kelele[emoji23][emoji23]
Hapo kwenye haiuzwi nakataa

Mbona mtaani hapa nikipanda dau nakula yeyote tu tena 20k nishamaliza kazi hakuna cha relationship no strings attached yani Ni mwendo wa negotiations

Bado kuna Badoo zinauzwa kwenye ma hotel.tallyhunter nilimnunua Kweny hoteli nilimkuta Zanzibar.

Na bado inatolewa buree hao wanaokula ma sugar mama utasema wananunua ?




Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sisi sio wachoyo naongelea majority ya majita kuwa sisi sio wachoyo shida ni pale hamtoe vikojoleo vyenu mnatanguliza kuomba hela kwanza sisi msimamo wetu ni toa mbususu hela inafuata na matunzo kibao na vimtoko,

Nilikuaga mwanaume wakutoa sana yani ukiomba hela ya salon nakutumia, ukiomba hela ya shoping nataoa mbaya zaidi walaji ni wengine yani siku zote mtoaji anaonekana bewge nikaona kumbe mimi ndiyo fala
 
Wanaume nawasisitiza msitoe pesa kizembe ni heri mtumie mama yako kule kijijini anunue hata sukari kama mbunye za kuuza zipo, kuliko unazokutana nazo zinajifanya decent na zinajifanya wanaangalia kindoa kumbe nae anauza sema kistyle atakutoa hela weee ila hana mapenzi nawe, na nimegundua wanaume korofi ndiyo tunapewa sana mbususu ila wale wakujifanya analitunza penzi sana na pesa huishia kulia na kubwagwa
 
Usitumie hii picha hivi ni kudhihaki
 
Hawataki kuombwa pesa wanataka kuombwa nini?

Roho???


Raha ya mwanaume halisi wa kiafrika ni aombe na kutoa pesa kwa mwenzi wske
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…