Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Shawahi Kuna na mwanaume wa hivi haoni aibu yeye kila siku shida na asivo haya anaomba Hadi hela ya msosi, na alisahau kuwa sio wanawake wote wameumbiwa kuomba ila haimaanishi usihudumie baby wako, maana mtu ka huyo nilimkimbia nikawaza huyu ni mchoyo hata mkiwa na familia hawezi kuhudumia na anakuachia mzigo wote nikasema Cha kufia nini mwanaume mtaka vya bure tena ana kazi nzuri masafari ka yote ila mchoyo wa hatari wallah.

Kuna wanawake hatuombi hela ila tunapenda responsible man anayejiongeza wallah, mikono mitupu hailambwi, na ndio maana watoaji wengi hupendwa na kusamehewa mapungufu mengine
Hehehe waapo wengi sana. Kila saa kujiumbia matatizo ya uongo ili umtip. Wanadangaaa...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nilikimbia zangu mita mia mbili wallah, so kuna wanaume wapenda mtelezo acha tu waombwe hela maana wengine huwa wanaomba kuwapima au kuwakimbiza real gentleman anahudumia mwanamke wake bila kuombwa.
Pia inaonyesha anaweza kuwa responsible father
Exactly,wakati mwingine hatupaswi kusubiri mpaka tuombwe, unajiongeza mwenyewe
 
Ukweli ni kwamba;

Mkibadilishana namba na msichana baada ya muda mfupi yaani ndani ya siku 2 anaomba eidha ya kusuka, umwongezee kodi au utasikia hapa nilipo nina njaa sijala naomba 20k.

Kuomba pesa sio tatizo, tatizo timing, wasichana 80% hawana uvumilivu wala mshipa wa aibu.
kumpa mwanamke hela siyo Tatizo , mimi huwa nachukia mtu nimechukua namba hata lisaa halijapita ,nywele zimefumuka,njaa inauma ,birthday yake ni leo,kodi imeisha ,gesi imekata, anaumwa anataka dawa...

mtu hata timing ya kumlia mwanaume hela hana khaaa aiseee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wabahili sina kabisa urafiki nao. Kuna ex wangu mmoja yeye alikua anachukia nisipomuomba hela na nikimuomba anafurahi ananipa zaidi ya nilioyoomba.
Kuna siku akaniambia akinipa hela hua anapata nyingi zaidi maana vile navyoshukuru (na najua kushukuru haswaa na dua juu namuombea ) inampa mzuka wa kutafuta.
Uendelee kubarikiwa ex huyu nilienaye pia sio mchoyo japo yeye hana mipesa mingii.
 
Nilikimbia zangu mita mia mbili wallah, so kuna wanaume wapenda mtelezo acha tu waombwe hela maana wengine huwa wanaomba kuwapima au kuwakimbiza real gentleman anahudumia mwanamke wake bila kuombwa.
Pia inaonyesha anaweza kuwa responsible father
ndo kwa kumpima mtu anakuomba namba haipiti hata lisaa tayari kodi imeishaa WTF!!!!!!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom