Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wajibu wa nani?
Unafikir mwanaume unakuwa na mwanamke kwa ajili gan haswa let be realistic mwanamke anahitajika kwa mwanaume Sana Sana n ile amri ya sita tu Kama unabisha olewa alafu ukatae kutoa utaanaa kitakachofata
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeambiwa kupendana kufuatane na kupeana pesa, sasa mimi ni mdogo hivyo wewe ndio inatakiwa unipe[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwa kweli.. Upendo una gharama yake...
 
Sisi wanaume, mkitaka kutupatia tukiomba namba hata msiwe na haraka yakuomba pesa we kausha tuu Kama hupendi vile Yani huwa tukiona mwanamke huyu sio mwombaji tunajiongezaga fastaa unakuta na naanza kuwaza na ndoa kabisa nikijua huyu ndio wife material hana tamaa na pesa, najikuta tuu nimekupa laki 5 kwa furaha yakutoombwa mara kwa mara nasema bby kahela ka saloon hako
Maneno laini
 
Niwakumbushe tu wanamke kuwa umri wao wa ku shine ni18 to 40 ila sisi wanaume mpk hata 70+ ukisimama unapeleka moto kwa hio jitahidini kuomba hela kwa njia zote ila msisahau kuwekeza maana tunakoelekea wanaume kuoa itakuwa ndoto maana hawa viumbe haitoshi tu kuwapa hela hata kuishi na kwa akili
Wanaume tutafika tumechoka sana

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Kero inakuja pale ambapo nimekuomba namba kabla sijasema kusudi la kuomba namba unaanza njaa inauma, sijui mchezo nikuongezee kodi gas saloon khaaaa!

Hiyo sio kero ni nini Dada!!
Wadada wa hivi nao wauliwe
 
Kuombwa Pesa sio tatizo, tatizo ni je wewe unaye niomba pesa na Mimi nikitaka uchi wako nimwagie ndani utanipa??
 
Mi nafkr mwanaume tu inabidi iwe ni something of a pride kuprovide kwa mwanamke wako.

Na mwanamke iwe tu ni something of being a woman kujiskia kuwa provided with na mwanaume wako.

Ikiwa hivi hakuna kero wala kujiskia vibaya.

TAKE CARE OF HER vs BE TAKEN CARE OF.
Kinyume na hapo hizi threads kila siku hazitakaa ziishe.
Halafu iwe tu kwa uwezo ulio nao.
 
Utu wenu usipimwe Kwa fedha, japo kupenda fedha sio tatizo. Kuwa na principles ni muhimu zaidi.

Ukiweka fedha mbele, utapelekwa tu na kutumiwa kama fedha yenyewe.

View attachment 1963437
Screenshot_20210717-214714_1.jpg
 
Back
Top Bottom