Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

kumpa mwanamke hela siyo Tatizo , mimi huwa nachukia mtu nimechukua namba hata lisaa halijapita ,nywele zimefumuka,njaa inauma ,birthday yake ni leo,kodi imeisha ,gesi imekata, anaumwa anataka dawa...

mtu hata timing ya kumlia mwanaume hela hana khaaa aiseee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hapa ndio tatizo huanzia
 
Kwangu mm kuombwa ela n moja ya kero nayochukia ata awe mpenz Wang mnatakiwa msubir mpewe wenyew boro mtu utoe kwa hiar yako
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndiyo umeamua hivyo?
Umepata...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeambiwa kupendana kufuatane na kupeana pesa, sasa mimi ni mdogo hivyo wewe ndio inatakiwa unipe[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom