Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Kwenye mahusiano yule anayemuhitaji mwingine zaidi ndiye atakayekuwa wa kwanza kuwekeza.
Mwanaume anawekeza pesa na mwanamke anawekeza sex. Mwanaume akitoa hela kabla hajatomba, hapo anakuwa ameshikilia makali vivyo hivyo mwanamke akitoa papa kabla hajahongwa chochote ama vya kutosha.
Mwanaume kumpa mwanamke pesa haimaniishi ndo atapendwa zaidi, badala yake yeye ndiye atazidi kupenda zaidi kutokana na jasho lake alilogharamia kwenye mahusiano.
Kuna wanawake wakimpenda mwanaume wanakimbilia kutanua miguu wakifikiri ndio njia ya kumshikilia huyo mwanaume kinachowashangaza wakishaliwa mapenzi yanapungua ama kuisha kabisa.
Haya mambo yanachanganya sana, kwenye mahusiano kuna upande unaowekeza sana ambao unahitaji upande mwingine zaidi, ila upande wa pili hauhisi chochote kivile.
Wanawake ni Machiavellians by nature. Ndio maana wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuhonga ni kawaida ila sex hadi badae badae au hadi ndoa kabisa. Yaani mwanamke kwa kuwa na qumar anaweza kukamua chochote toka kwa mwanaume na kumkontro kama anatumia remote. Na ni wepesi wa ku move on baada ya kuachana maana hawakuwa wamewekeza kwenye mahusiano pakubwa hivyo kuachana hakuwapotezei pakubwa.
Ushauri kwa wanaume, always dili na mwanamke anayevutiwa na wewe, ambaye atakuwa tayari kukupa papa kabla ya kumuhonga.

Niko kwenye kikao hapa, ajenda kuu ikiwa ni kuchambua bajeti ya kujenga sanamu lako.
 
Ndo maana ya haitolewi bure wala haiuzwi.
Anataka aichakaze mbususu ya watu hata hela ya sabuni asitoe..[emoji23][emoji23]
Hela ya nini tena?

Mkuu, raha anapata mmoja au wanapata wote?

Wewe unatoa kitumbua, na yeye anakupa muhogo.

Si mmebadilishana hapo au!?!!

Kwani mkuu, wewe ukiniomba muhogo si unapewa bure au unauziwa?

NATANIA LAKINI.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

"Bby naomba uninulie pafyumu "

Hii kali asee

Kuna dubwasha moja na mimi liliishawahi kuniomba zawadi, ukikaa kidogo mara Wity naomba uninunulie kitu fulani, yaan linaomba omba ovyoo

Siku nikaliweka kitimoto nikaliambia " we mwanaume unajidhalilisha kuomba omba vitu wanawake, huoni hata aibuu toto la kiume kujiliza liza kwa mwanamke"!? Haahaa asee aliona aibu sana
😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Umeongea kwa uchungu sana best!
So providing for your woman ni slavery?
Isn't she doing the same?
Anyways imma bit old school .
Kumbe mwalimu wangu alinidanganya Kuhusu mambo ya slavery 😁😁
 
Kuombwa pesa na mpenzi wako ifahamike sio kero kwetu wanaume naomba ieleweke hivo

Kero ni hii tena majuzi tu

Majuzi hiyo nimeomba namba kwa bint kabla sijamwambia chochote kuhusu kuomba namba usiku wa jana amenipigia simu et amepoteza pesa ambayo alipewa na mama yake akatume sehemu.

Anadai ameenda kwa wakala kuangalia pesa mfukoni ili ampe mtoa huduma hana eti amedondosha

Nikauliza kiasi gani kasema Elf50 anataka nimpe,

Hapo hata sijasema chochote kuhusu kuomba tayari shida zimeanza kama sio kero ni nini!
Auwawe....😁
 
mkuu huyu witty huyu kama anatokea maeneo ya chang'ombe maeneo ya kiwanda cha serengeti huko kwenye mataa pale njia inayoelekea keko basi umeliwa hapo yaani tabia zake kabisa hizoo kwa uo utumaji wa text niliouona au labda wanawake wanafanana namna ya chatting zao wanavo andika APEFACE
😂😂😂 Huyu witty ni witnessj au mwingine
 
Ongeza sauti maa.Haiuzwi wala haitolewi bure.Bila pesa hata nyege haziji na pussy hailowi[emoji2957][emoji2957].

Wanaume wanapenda pisi kali halafu kwenye kuzitunza wanaleta kelele[emoji23][emoji23]
Kama una uhakika wewe ni pisi kali karibu, utapata chochote utakacho ndani ya uwezo wangu
 
Ila mbona watu tuliowahi kukutana na wazungu mbona hata kwenye dating lunch au dinner wanalipa wenyewe? Hawa wenzetu wanafanya mwanaume awe yesu na mwokozi wa matatizo yao
Sisi na wazungu ni tofauti....😁
 
Nimesoma thread, nikichogundua

Wanawake kwny swala la kummaliza mwanaume wanasapotiana kichizi adi mbinu wanapeana..
Njoo kwetu wanaume Kila mmoja na lake.. Kw staili ii watatuburuza kwelkwel.

-Ela ya nauli unatumiwa na hautokei, wewe ni mal@ya au kibaka-
Juzi nimepigwaa nauli dadeki na mdada qa heshima sana sema nimejidai sijamind ili siku aingie mkengee.. Mwingine anaomba helaa mpaka nikawa sijibu msg akasema mbona hujibi msg wala calls nikamwambia nikipata Hela ntakuwa napokea..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mademu wa siku hizi kuwa nammoja huyo simu mmoja anakuja bila hivyo helaa zako utapigwaa sana kisa nyegee...
 
Back
Top Bottom