Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
DAh wanawake watamu sana wacha tusake pesa tuu tuwagegede. Furaha iliyoje kumpa mwanamke hela alafu akakupa mbususu ucheze nayo utakavyo.
 
Mapenz ya skuhz n biashara tu hamna la maana, ukichukua namba tu unapigwa kwanza registration fee... Sie ma gentlemen tunaojitambua tunajua majukum yetu acha mtu akukadirie, sasa fasta tuu wanipa mashiida kibaoo kama baba ako hapo lazma nkuone malaya tu na hata km nlkuwa na nia ya kukupa nakaza potelea potee
 
Mapenz ya skuhz n biashara tu hamna la maana, ukichukua namba tu unapigwa kwanza registration fee... Sie ma gentlemen tunaojitambua tunajua majukum yetu acha mtu akukadirie, sasa fasta tuu wanipa mashiida kibaoo kama baba ako hapo lazma nkuone malaya tu na hata km nlkuwa na nia ya kukupa nakaza potelea potee
Muongo wewe huwa unatoa
 
Mimi binafsi hamna kitu kinanikera kama kuombwa ombwa pesa...huwa napenda nitoe mwenyewe kwa hiari yangu,lakini ukinianzishia hizo habari za baby naomba hiki mara sijui hiki mara kile nakupiga block moja hatari...
 
Mimi kwakweli mzito kuomba omba sijui kwa ajili ya mazingira niliolelewa, Familia yetu imejijenga katika kujitegemea sana. Hata nikwame kiasi gani huwa sifikirii kusaidiwa yani mara 100 nimkope Bi mkubwa kama anacho wallah... kuomba wakati mwingine ni kujitafutia disappointment tu.
Hakuna kitu kizuri kama kupewa tu bila kuomba tena inakua furaha maana hukutegemea, Bro/Baby akinipa nasema Insha Allah Mungu amzidishie 7 mara 70 .. na uzuri Mungu anaona B huwa anajua jukumu lake kwangu kwa uwezo wake, na mpaka nimuombe mtu kitu nmejikana mara 3 kama petro HakyaMungu
We dada c tuooane tujenge maisha jamn, hv wife material kama nyie bado mpoo
 
Jamaa APEFACE Ndio anamjua ni nani ngoja alete majibu
Hii ni leo....sio sina hilo ten mkuu...shida ni ten linaweza enda alafu maku niisikilizie kwenye bomba
Screenshot_20211007-172417_Messages.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom