Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Watibeli tupo tunapitia Katiba yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini joomooni!!Yaani wewe nishakuona una viukorofi vya chini chini unauma unapuliza , unauma unapuliza huku ukitabasamu...kimoto kikikaribia kuzima unakimwagia tumafuta twa taa halafu unakaa pembeni kujichekelesha chekelesha. Yaani...🔥🔥🔥
Hii post imewanyanyapaa sana wanawake na kukuonesha wewe kuwa ni mtu mbaguzi wa kijinsia mwenye stereotypical misogyny.
Zaidi, imekuonesha kuwa unaamini sana katika gender stereotypes nyingi ambazo hazina msingi wowote katika ukweli na sayansi.
Huu uzi mbona umekaa kama kudhalilisha wanawake
Zile tabia mbaya zisizofaa kwenye jamii umezinasibisha na wanawake
Je zile tabia mbaya zinazofanywa na wanaume, wakifanya wanawake mbona hamuwaambii kuwa wanatabia za kiume?
Hata ukienda Serengeti ukikuta madume yanazipiga mara nyingi sababu ni mbili tu - chakula na mademu!
Jomba umeishiwa kabisa nondo za kushusha hapa JF? Huu uzi wako umejaa tu chuki kwa wanawake kana kwamba wao ndo wamiliki wa tabia mbaya. Acha hizo fikra za kibaguzi. Mwanaume kuhonga ni jambo la kawaida na ni la kiasili. Wakati Isaka anaenda kuposa kabla hata ya maongezi alimpa yule binti vito vya thamani. Kama wewe ni mhanga wa jambo lolote baya ulilowahi kufanyiwa na mwanamke samehe endelea na maisha. Kuandika nyuzi za kuonyesha chuki dhidi yao kunakufanya uonekane MWANAUME DHAIFU. Unavyosema mwanamke sio wa kulazimishwa ni kama vila unataka kukimbia majukumu yako kama mwanaume... TOKA HUKO KWENYE FIKRA ZA KIVULANA UJE KWENYE UANAUME.
Wapi?Nimeandika kwa mujibu wa kasumba iliyopo kwenye jamii. Ambayo inahizo Gender stereotypes, kwamba tabia na matendo haya ni yakike na hizi nizakiume.
Nikaeleza kuwa zile stereotypes ambazo zamani zilimfanya Mwanamke aonekane ni dhaifu kwa tabia, mitazamo na mienendo ndio hizohizo ambazo wanaume kumbe nasi tunazo.
Watibeli tupo tunapitia Katiba yetu
Mwanaume unavaa vaa vipensi unaonyesha mapaja ili iweje?
Wapi?
Page ya Pili tu Tayari watu wamekupopoa Mawe kweli kweli, mpak ifike Page ya 9 Kazi unayo mkuu
Tatizo binadamu wabishi sana
Wewe unachanganya mambo kuna KUGOMBEA na KUMLINDA mpenzi wako ndani ya himaya yakoHii kugombea mademu ni asili ya kiumbe chochote cha kiume.
Kwenye maandiko kwenyewe Ibrahim alitaka kunyanganywa mke wake na mfalme...
Seriously unakuta kijana wa kiume wakati wa kumvalisha pete mwanamke anapiga goti...!
Sent using Jamii Forums mobile app