Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

Ni kweli Isaka alitoa mahari tu.
 
Kwenye nini?
Umeandika hivi:-

"Nimeandika kwa mujibu wa kasumba iliyopo kwenye jamii. Ambayo inahizo Gender stereotypes, kwamba tabia na matendo haya ni yakike na hizi nizakiume.
Nikaeleza kuwa zile stereotypes ambazo zamani zilimfanya Mwanamke aonekane ni dhaifu kwa tabia, mitazamo na mienendo ndio hizohizo ambazo wanaume kumbe nasi tunazo."


Wapi umeandika stereotypes zilizomfanya mwanamke aonekane ni dhaifu kwa tabia, mitazamo na mienendo ndio hizo hizo amabazo wanaume kumbe nasi tunazo?

Na kama ni hivyo, kuna umuhimu gani wa kuzidi kupigia mstari habari za "wanawake wako hivi, wanaume wako hivi" ikiwa kuna mambo mengi yapo kwa wote?
 
Uzi mrefu sanaa ila wanaume tuko bize tubasaka maokoto, ukiwa na maokoto kila mtu ni rafiki yako hata ukiwa mbeya watakuita mtafutaji.
 
Uko correct ila kwa wenzangu na mimi ambao kuna siku za michezo makazini ambayo inakubidi upige track suit unasemaje hapo maana umegusia?
 
Iyo no 1 uko sawa kabsa especial Dar yani wanaume ni wambeya kuliko madem hii issue nilizani nme ona peke angu
 
Siku ukitoka kwenye uvulana utaelewa..
 
Wale wanaovaa vikaputula vifupiii siwaelewi
 

Huwezi elewa. Lakini ukisoma ukitulia utaelewa nazungumzia nini.
Ndio maana nikasema, wakati nakua kuna mambo tulikuwa tunaaminishwa lakini ulikuwa ni uongo mkubwa.

Umuhimu wa kile ninachokifanya kitajulikana mwisho. Kwa sasa unachoweza kufanya ni aidha kukosoa au kupinga, na kurekebisha au kuunga mkono kile ninachokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…