Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

Hujaonesha ulipoandika hivyo. Kwa sababu hujaandika hivyo.
 
Hivi huwa unafanya yote unayoyasema au unaandika kama sehemu ya uandishi wako..

Maana katika uandishi kuna kuandika kutokana na mtazamo wako halisi na kwa upande mwingine, ni uandishi unaogemea kuwapa watu kile wanachokitarajia hata kama hakiendani na misingi yako ili mradi upate attention na fan base kubwa
 
Pole bibie
 

1. Naandika yale yaliyopo katika akili yangu. Inaweza kuwa ni maoni, mtizamo, au falsafa zangu.

2. Naandika ili kusaidia wale watakaoona msaada kupitia kile nilichoandika.

3. Siandiki kwa sababu ya kutafuta attention ya watu, ndio maana tangu nimeanza kuandika huu ni mwaka wa 7. Zipo post wamesoma Watu wachache, wakawaida, na zipo waliosoma wengi.

4. Naandika vile nilivyokuwa, nilivyo na nitakavyokuwa. Na ambao watataka kuwa kama mimi wajifunze pia.

Najua sio kila mtu anaweza kufurahia mtindo wangu wa maisha lakini hiyo haipo juu yangu.
 

Ok nimekuelewa na haikuwa na haja ya kuwa too defensive. Pia neno attention kwenye online or business world ni next step baada ya kuwa visible na haina maana mbaya kama ulivyoishukia kwa nguvu zote.

Yote kheri lakini cha msingi ufanye unachokipenda. Pia kila la kheri kwenye safari yako ya kutengeneza "influence"

"Taikoni wa fasihi"
 
Umeandika wapi?

Yote niliyoandiaka hapo kwa lugha moja ni Gender Stereotypes.
Sasa niambie niwapi nimemuonea huyo Mwanamke
Au kusema mwanaume asiwe kama Mwanamke ndio unaona kama nawanyanyapaa Wanawake?

Tabia za kike huzijui?
Kama sosholojia inakupiga chenga basi waulize Wanasaikolojia wao watakuambia kipi nilichoeleza
 
Post yako ya kwanza yote inamnyanyapaa mwanamke, na nilipokubana ukakubali unamnyanyapaa kwa stereotype zilizopo.

Unabisha nini sasa?

Sio kila Stereotypes ni unyanyapaa.
Kwa mfano mtu akisema Mwanaume anakuwa na mihemko na kutafuta attention Kama Mwanamke hapo wewe utasema ni unyanyapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…