Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Tatizo limeanzia kwako, mwanamke ukimtafuta kama unatafuta shilingi utampata ambaye sio sahihi au utamwona kila mmoja hafai.

Mwanamke unampata kutokana na mazingira yako, na kwa namna unavyotimiza wajibu wako kijamii na kwako binafsi. Mfano unaweza ukampata mke bar, safarini, kutokana na kazi yako, kanisani n.k. ila usiamke asubuhi ukasema sasa namtafuta mke wa kuoa, utampata muuaji wa maisha yako.
Njia hii nakubaliana na wewe sema tu huwa inachukua muda mrefu sana kufanikisha maana hujui itajitokeza lini.
Yaani unakuta kwa mfano kuna kipindi kwenye pitapita zako unakutana na mwanamke na unamkubali kabisa kwamba ni wife material na anakuwa yuko tayari endapo utafuata hatua anazotaka ila unakuta wakati huo bado haujajipanga bado kuanzisha familia kutokana na sababu za kiuchumi na vitu vingine kama kuwa masomoni sasa wakati unajishauri wanatokea watu waliojipanga kimaisha wanamuwahi.
Sasa baadae ukishaanza kujipata na kaumri kamesogea unasema sasa niko tayari kwa ajili ya kutafuta mwenza wa kuishi naye sasa kwa vile una presha ya kumpata kwa haraka kwa kuhofia umri usiende sana ndio hapo kila unapogusa unaangukia kwa waigizaji na wapigaji tu wa tuma na ya kutolea,gesi imeisha,kodi imeisha,mjomba kameza shoka.
 
Mpaka mtu kaamua kurudi kanisani kama hakuwepo huko kuna kitu amekiona kuwa Muumba ndio muweza wa yote, hivyo ni hatua kuu ya kufanya marekebisho katika maisha yake

Hivyo ni bora maradufu ya yule ambaye hafiki kabisa katika eneo hilo
Sasa hao wa kanisani si ndio hao hao wa mtaani anaowasema jamaa au wanatoka mbinguni?
 
Nikwambie tu ata tuliowaoa wanatupiga vizinga kama madanga tu usipompa ela ananuna mpaka uumpe, dawa ni kumpa ela tu ndo furaha inarudi ndani.
Sasa kama unaita dem unashindwa ata kumpa chips unasema mpige stori kwani unamiliki kijiwe cha kahawa, wewe ndo auko objective.
Enewei nikonkludi kwa kusema ukitaka kuoa kirahisi tafuta binti mtie mimba utapewa buree.
Usichunguze sana tabia awa raia wanabadilika kila siku. Leo ananuna, kesho anafurai, kesho kutwa anaweuka. Waka kama kinyonga[emoji2].

By mzoefu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Hakuna formula maalumu mkuu.

Ukweli ukihitaji kuoa Ile serious ghafla Kila demu uliyekuwa umemuwekea malengo unaona hafai Tena na kweli anakuwa hafai kabisa.

Mimi ilinitokea baada ya kuona nafeli kwenye nukta ya mwisho wa field yangu.

Nikaadhimu kukaa na mzee nikamwambia mzee Kila binti nae taka kumuoa tunaanza vzr mwisho naona hanifai!!

Jukumu alilibeba mzee A-Z na lilifanikiwa vizuri na kwa ufasahasana Hadi leo na enjoy.

Familia ya kwanza ilikuwa pisi nzuri ya kijijini ndani ndani hata Mimi nilipoiona nilisema mzee anajua na kujua zaidi.....

Lakini mzee kumbe alikuwa Bado anafanya investigation zaidi ndipo akaambiwa ukoo huo (Babu yake na binti )alikuwa na ukoma


Taarifa hizi nilizipokea Kwa shingo upande tu maana Tyr nilikuwa nimeanza kuwasiliana na yule binti nae alikuwa kanielewa....

But ilibidi nitii sikuwa na namna.

Ndipo mzee akapata Kwa familia niliyo oa hii
Mkuu jina lako ni wosia tosha[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Hakuna formula maalumu mkuu.

Ukweli ukihitaji kuoa Ile serious ghafla Kila demu uliyekuwa umemuwekea malengo unaona hafai Tena na kweli anakuwa hafai kabisa.

Mimi ilinitokea baada ya kuona nafeli kwenye nukta ya mwisho wa field yangu.

Nikaadhimu kukaa na mzee nikamwambia mzee Kila binti nae taka kumuoa tunaanza vzr mwisho naona hanifai!!

Jukumu alilibeba mzee A-Z na lilifanikiwa vizuri na kwa ufasahasana Hadi leo na enjoy.

Familia ya kwanza ilikuwa pisi nzuri ya kijijini ndani ndani hata Mimi nilipoiona nilisema mzee anajua na kujua zaidi.....

Lakini mzee kumbe alikuwa Bado anafanya investigation zaidi ndipo akaambiwa ukoo huo (Babu yake na binti )alikuwa na ukoma


Taarifa hizi nilizipokea Kwa shingo upande tu maana Tyr nilikuwa nimeanza kuwasiliana na yule binti nae alikuwa kanielewa....

But ilibidi nitii sikuwa na namna.

Ndipo mzee akapata Kwa familia niliyo oa hii
Mkuu jina lako ni wosia tosha[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Weee unamchukulia mwanamke kama kitu cha thamani saana kana kwamba bila mwanamke huwezi kuishi! Pole! Mwanamke ni species ya binadamu ambayo haijari "don't care" tofauti na wanaume ambao ufikiria "hatima" ya kesho. Mwanamke uishi kwa hisia kwa kile kinachompa raha leo bila kujari kesho itakuwaje! Sasa species za aina hii ukiziweka akilini utakufa mapema!
Mimi nina vjiwe vyangu kadhaa vya chips, nyama choma, na grocery! Wateja wangu wengi ni akina dada! Japo siifanyi moja kwa moja hii biashara (nimeweka vijana) lakini nimeona kitu cha ajabu kuhusu hawa species! Chips yai ni book 3. Mbinti anaweza kuwa na hiyo hela lakini atajilegeza na kulialia umpe bule au mbadilishane kwa kukupa mbususu!! Can you imagine! Sasa kama unataka kuwanasa anzisha kijiwe cha chipsi/mishikaki/nyamachoma/kitimoto alafu utuletee mrejesho!
Tawiree mkuu mi mwenyee nikienda kwa mchepuko naaigizwa chipsi, nkirudi nyumbani naagizwa chips, nkagundua awa viumbe wana vina saba na chips.[emoji1783]
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Dada zetu sahiv wanajal shida zao tuu
 
Back
Top Bottom