Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Njia hii nakubaliana na wewe sema tu huwa inachukua muda mrefu sana kufanikisha maana hujui itajitokeza lini.
Yaani unakuta kwa mfano kuna kipindi kwenye pitapita zako unakutana na mwanamke na unamkubali kabisa kwamba ni wife material na anakuwa yuko tayari endapo utafuata hatua anazotaka ila unakuta wakati huo bado haujajipanga bado kuanzisha familia kutokana na sababu za kiuchumi na vitu vingine kama kuwa masomoni sasa wakati unajishauri wanatokea watu waliojipanga kimaisha wanamuwahi.
Sasa baadae ukishaanza kujipata na kaumri kamesogea unasema sasa niko tayari kwa ajili ya kutafuta mwenza wa kuishi naye sasa kwa vile una presha ya kumpata kwa haraka kwa kuhofia umri usiende sana ndio hapo kila unapogusa unaangukia kwa waigizaji na wapigaji tu wa tuma na ya kutolea,gesi imeisha,kodi imeisha,mjomba kameza shoka.
 
Mpaka mtu kaamua kurudi kanisani kama hakuwepo huko kuna kitu amekiona kuwa Muumba ndio muweza wa yote, hivyo ni hatua kuu ya kufanya marekebisho katika maisha yake

Hivyo ni bora maradufu ya yule ambaye hafiki kabisa katika eneo hilo
Sasa hao wa kanisani si ndio hao hao wa mtaani anaowasema jamaa au wanatoka mbinguni?
 
Nikwambie tu ata tuliowaoa wanatupiga vizinga kama madanga tu usipompa ela ananuna mpaka uumpe, dawa ni kumpa ela tu ndo furaha inarudi ndani.
Sasa kama unaita dem unashindwa ata kumpa chips unasema mpige stori kwani unamiliki kijiwe cha kahawa, wewe ndo auko objective.
Enewei nikonkludi kwa kusema ukitaka kuoa kirahisi tafuta binti mtie mimba utapewa buree.
Usichunguze sana tabia awa raia wanabadilika kila siku. Leo ananuna, kesho anafurai, kesho kutwa anaweuka. Waka kama kinyonga[emoji2].

By mzoefu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Mkuu jina lako ni wosia tosha[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Mkuu jina lako ni wosia tosha[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Tawiree mkuu mi mwenyee nikienda kwa mchepuko naaigizwa chipsi, nkirudi nyumbani naagizwa chips, nkagundua awa viumbe wana vina saba na chips.[emoji1783]
 
Dada zetu sahiv wanajal shida zao tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…