Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, hapo ndio patamu.

ACHA KUWABAHASHA WANAWAKE WENZIO, UNAKOMAZA VISIMI, LESBANIAN NOT GOOD HABIT.
 
Mpenzi wake ni mdada jamani mbona huwaga mnajisahaulisha kwamba alishasema yeye ni lesbian?alishasema hapendi wanaume,
 
Wanawake wa ivi mara nyingi huwa hawana mvuto kimapenz ivo hutongozwa kwa nadra sana ikitokea ndo kama ivi matokeo
 
Una akili sana kongole kwako
 
Asilimia kubwa ya wanawake anapokuwa na mwanaume halafu hajamtongoza kwa kigezo cha urafiki hujihisi wana kasoro

Wengine husema bora atongozwe akatae kuliko asitongozwe kabisa, hujisikia vibaya

So nadhan suala la kutongozwa unatakiwa kulichukulia kama sehem ya maisha yako
 
Asilimia kubwa ya wanawake anapokuwa na mwanaume halafu hajamtongoza kwa kigezo cha urafiki hujihisi wana kasoro

Wengine husema bora atongozwe akatae kuliko asitongozwe kabisa, maana hujisikia vibaya

So nadhan suala la kutongozwa unatakiwa kulichukulia kama sehem ya maisha yako
 
Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, hapo ndio patamu.

ACHA KUWABAHASHA WANAWAKE WENZIO, UNAKOMAZA VISIMI, LESBANIAN NOT GOOD HABIT.
Astaghafirullah! nani huyooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…