Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

Lipia tangazo hii ni biashara unatangaza waziwazi tushastuka na hatujiii
 
View attachment 3312024View attachment 3312026
Punguza kiherehere kwenye uzi wangu.
Nenda majukwaa mengine.
Huoni kama nimeku-ignore dada?
Sitaki shobo.
Majukwaa yako mengi.
Usilete udikteta uchwara, ukishapost thread JF ni mali ya JF ndio maana huna access ya kudelete thread.

Huna haki ya kuwapangia wengine cha kucomment ili wakufurahishe wewe hii ni free forum.
 
😭🀣😭🀣😭🀣😭🀣😭🀣😭🀣😭🀣😭🀣😭
 
Tuna fikiria Mambo ya msingi kuna mtoto wa 2000 kashiba ugali wa shikamoo unawaza kukojoza.simu za mkopo zipigwe marufuku.
Mwanamke akitupenda hata akishikwa mkono tu anakojoa analoa chepechepe, tatizo hamtupendi
Watu wanawaza mambo ya msingi kuna mtoto wa 2000 kavimbiwa ugali wa shikamoo awaza kukojoza.nb simu za mkopo zipigwe marufuku .
 
Wacha leo niwatetee wanaume.

Ili ufike unakotaka kufika lazima kuwe na ushirikiano baina yenu wote.. Mwenzio yuko hapo wewe unawaza kule, utafikaje unakotaka kufika?

NB: Sitiresi, hauna hisia naye, una kinyongo naye (Alikutenda jambo).
 
Kama unataka kukojoa kunywa maji mengi, nakuranda ili niskie raha mimi siyo ili usikie raha wewe.
 
Watu wanawaza No Reform, No Election huwa muda wa kukojozana wautoe wapi?
 
Karne hii ngumu kumeza si sawa na karne za wazee wetu , unalioa limtu lime**mbwa na kila size ya uume , utalilidhisha kweli au nikupoteza muda ? Kila mtu ajikojoze kivyake , ukienda kutafuta bodaboda au kijana wa 2000 usisahau kuna magonjwa kama vile UKIMWI.
 
Nakwambia nikikaa hv nafika kileleni ila wewe utataka uniweke hivi.
Nitakojoaje?
Acha papara binti,ukitaka kufurahia show,be present wakati wa tendo,unataka ufike kileleni kwenye safari ambayo haujahusika
 
Usilete udikteta uchwara, ukishapost thread JF ni mali ya JF ndio maana huna access ya kudelete thread.

Huna haki ya kuwapangia wengine cha kucomment ili wakufurahishe wewe hii ni free forum.
Sikia wewe Dr uchwara.
Uzi ni wangu na hakuna aliyenipangia cha kuandika kwani pale mwanzo wa uzi hawakuona?
Wengi wako in list ndio maana hawajaja.
Kwahiyo wewe umekuwa msemaji wao au?

Nimeshasema na narudia tena, kama nimeku-ignore list sokufaki.
Na hata wewe Dr Matola PhD sikutaki kwenye uzi wangu.
ASAP!
 
Semeni kabisa mnataka kukojozwa au pesa? Kufanya vyote viwili ni ukatili dhidi yetu.
 
Kiongozi umekula kweli? mbona unahasira kulikoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…