Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Jibu langu litakuwa ninaunga mkono mtoa hoja.
Ila jibu lako ww mwenye mitazamo ya kifemenist jibu lako litakuwa ni jamani acheni kuwasema na kuwadhalilisha wanawake hao ni mama zetu.
 
Jibu langu litakuwa ninaunga mkono mtoa hoja.
Ila jibu lako ww mwenye mitazamo ya kifemenist jibu lako litakuwa ni jamani acheni kuwasema na kuwadhalilisha wanawake hao ni mama zetu.
Ok, uonavyo, hakuna tofauti ya hao wakosoaji A na B? Unamuunga mkono yupi na yupi utamkosoa?
 
Definition ya mwanaume ni pana. Na si kuponda wanawake wote as if kuna jambo baya wamekufanyia.
Hakuna sehemu nilipo ponda wanaume wote.
 
Ila wewe jamaa ni matakoo sana, ndio Nini hasa ulichokilenga kuni-quote hii comment???

Kwa hiyo siku hizo mtu akitoa maoni yake au akiweka msimamo wake kihadhara kuhusu jambo fulani ni kuwapangia watu ni Nini wafanye???

Kufanya harakati ni Nini? Na zinahusianeje na bandiko langu?

Hiyo para yako ya mwisho umejaribu kuona kama Kuna correlation yoyote na bandiko langu, au umeandika tu hili kujifurahisha???

Akili huna kabisa wewe.
 
Hivi mfano leo hii Makonda akija akakuta umekaa sehemu akaanza kukuchokoza ,kati ya ww na Makonda ni nani anatakiwa kumuepuka mwenzie ili msifikie hatua ya kupigana?
Duh!...Makonda tena ?
 
cha msingi tuheshimu utu ukweli usemwe ila kuwe na mipaka tusimalize maneno maana kuna leo na kesho
 
Ila wewe jamaa ni matakoo sana, ndio Nini hasa ulichokilenga kuni-quote hii comment???
Jitahidi kuhimili mihemko unapojadili hoja, kutumia maneno kama wewe ni matako ni kuongeza idadi ya hoja nje ya mada.
Kwa hiyo siku hizo mtu akitoa maoni yake au akiweka msimamo wake kihadhara kuhusu jambo fulani ni kuwapangia watu ni Nini wafanye???
Ulipost nini wanaume wenzako wakakuita mvulana? Rudi kwenye hoja uliyosema ukipost unakosolewa na kuitwa mvulana.
Kufanya harakati ni Nini? Na zinahusianeje na bandiko langu?
Harakati za mahubiri mfano yale mahubiri yako ya kutohonga wanawake.
Hiyo para yako ya mwisho umejaribu kuona kama Kuna correlation yoyote na bandiko langu, au umeandika tu hili kujifurahisha???

Akili huna kabisa wewe.
Tunajadiliana hapa sababu ulinitag kuwa huwa unasoma hoja zangu kuhusu mwanamke na hukubaliani nazo.

Sikuwa nakumbuka id ya mtu Muhimbu kuwa tulishawahi kutofautiana mtazamo.

Wewe kuwa na mtazamo tofauti sikuoni kama ni mjinga, nakuona kama mtu aliyezungukwa na mazingira yaliyosababisha kutazama mwanawake kwa jicho hasi.

Mimi simtazami mwanamke kwa hilo jicho lako.
 
Wote wako sawa.
Na ndio utofauti wetu ulipo.

Hawapo sawa.

Hapo kuna anayeshambulia tabia ya umalaya, na kuna anayewaita wanawake malaya.

Tazama namna unavyoandika kuhusu wanawake.

Huwa unashambulia tabia au unashambulia wanawake?

Ukishambulia tabia wanaume wote tutakuunga mkono

Ukishambulia wanawake, watapata watetezi.
 
Kweli kabisa kama wafanyavyo mataliban, ni kuwachinjilia mbali
Kikao kijacho woote waitwe wajieleze, kwanini wakufanyie tendo la kikatili namna hii.
 
Kwa hiyo tafsiri ya mwanaume ni kufanya na kuongea mambo yanayo wafurahisha wanawake?
Usishangae mkuu, na huu ndio ukweli.

Kuna social engineering inafanyika kwenye jamii yetu ambayo inalenga kumfanya mwanaume aone ni ufahari kuishi Kwa kumfurahisha mwanamke.

Ndio maana leo hii tunaona Kuna wimbi kubwa la madume ambayo yanawatetea wanawake hata kwenye upuuzi wao.

Leo hii wewe ukigombana na mke/girlfriend wako wimbi hili la wanaume litakaa upande wa mke/girlfriend wako haijalishi ni nani mwenye makosa.

Leo hii jamii yetu inataka kila mwanaume amchukulie mwanamke ni kama malaika fulani ambaye hastahili kusemwa vibaya Kwa vyovyote vile na pia vile vile wewe mwanaume ni jukumu lako kumlinda, halafu wakati huo huo mwanamke huyo anaambiwa na hiyo hiyo jamii kwamba yeye ni mtu imara na shupavu na tofauti yake yeye na mwanaume ni jinsia tu..!

Kwa bahati mbaya sana, wanaume wengi wanaojaribu kuchallenge haya mabadiliko ya kijamii Huwa wanaambiwa wanaochukia wanawake.
 
Reactions: ITR
Huwa tunashambulia tabia zao.

Mfano masingle mother huwa tuna shambulia tabia zilizo sababisha wao kuwa single mother na sio wao binafisi.
 
Wewe kuwa na mtazamo tofauti sikuoni kama ni mjinga, nakuona kama mtu aliyezungukwa na mazingira yaliyosababisha kutazama mwanawake kwa jicho hasi.

Mimi simtazami mwanamke kwa hilo jicho lako.
So wewe kuwa na mitazamo hii ya kutetea tetea wanawake ovyo dhidi ya wanaume wanaowasema Kwa mienendo Yao mibovu kama uasherati, huku ukihamishia makosa Yao kwa wanaume.

Kumbe yawezekana ni Kwa sababu umetoka kwenye familia ya majike tupu ambapo uasherati umetamalaki na wamekuwa wakakwambia kwamba wanafanya umalaya/uasherati sababu ya wanaume...SI ndio? Basi sawa.
 
Reactions: ITR
Huwa tunashambulia tabia zao.

Mfano masingle mother huwa tuna shambulia tabia zilizo sababisha wao kuwa single mother na sio wao binafisi.
Anaweza asikuelewe hata simple statement kama hii, utashangaa anakuja na maelezo meeengi ambayo yako nje kabisa ya muktadha.
 
Reactions: ITR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…