Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Huwa tunashambulia tabia zao.

Mfano masingle mother huwa tuna shambulia tabia zilizo sababisha wao kuwa single mother na sio wao binafisi.
Mkuu, hakuna mwanaume timamu anayetaka kuona masingle mother mtaani hivyo mwanaume yoyote timamu atakuunga mkono ukishambulia tabia inayochochea uwepo wa single mother.

Unachokifanya wewe itakuwa ni kushambulia single mother ndo maana wanaibuka watetezi.

Ukumbuke, humu kuna waliolelewa na single mother na hawajawahi kuwaona mama zao wakifanya umalaya, sasa ukisema single mother ni malaya lazima wakushambulie.

Ila ukipinga tabia ya umalaya, inayosababisha watoto kuzaliwa hovyo, hata huyo ambaye ni mtoto wa single mother atakuunga mkono.

Shambulia tabia, usishambulie mwanamke.
 
Mkuu hebu kunywa maji kwanza usije kupaliwa. Then utueleze taratibu ni gani kilikusibu?
 
So wewe kuwa na mitazamo hii ya kutetea tetea wanawake ovyo dhidi ya wanaume wanaowasema Kwa mienendo Yao mibovu kama uasherati, huku ukihamishia makosa Yao kwa wanaume.
Sijawahi kuwa against na anayepinga tabia ya uasherati unless kwenye mzaha kama nikiwa nataniana na kina mzabzab.

Sijawahi kuhamasisha au kuhalalisha makosa ya mwanamke kwa mwanaume esp yanayohusu umalaya.

Tofauti yangu na wewe ni mtazamo, kwa mtazamo wangu hata lafudhi unayotumia kumuadress mwanamke inaonyesha huna tatizo na tabia isiyo ya kimaadili, una tatizo na mwanamke.

Mfano, mama na dada na mashangazi zangu umewaita majike wafanyao umalaya na uasherati. Nikisoma hii hoja yako nazidi kuona tunapotofautiana.
Kumbe yawezekana ni Kwa sababu umetoka kwenye familia ya majike tupu ambapo uasherati umetamalaki na wamekuwa wakakwambia kwamba wanafanya umalaya/uasherati sababu ya wanaume...SI ndio? Basi sawa.
Huu ni mtazamo wako, haina maana kuwa ndio uhalisia.

Mkuu, jitahidi kuheshimu binadamu wengine hata mnapotofautiana mtazamo, esp mnapotofautiana mtazamo.

Mashambulizi dhidi ya wazazi, ndugu jamaa na marafiki kwa mnayetofautiana hoja hayakufanyi hoja yako iwe na maana zaidi kwa mtoa hoja, sana sana yanaweza kukutengenezea uadui usio wa lazima iwapo unajadiliana na mtu mwenye visasi na anayejua namna ya kupigana vita vya kijamii humu na nje humu JF.
 
Huwa mnatizama hivyo kwa sababu mmesha uaminisha ubongo wenu kuwa kila atakapo semwa tabia mbaya ya mwanawake basi umewashambulia wanawake.
 
Hawa jamaa ni waathirika wakubwa wa mfumo jike.
Kabisa, they have been overfeminized and now living their lives while serving women's interests is the their biggest pride.

SEMA ninachokipenda hao hao wanawake wanaowatetea wanakuja kuwageuka baadae wakitofautiana kidogo tu na kuwa maadui wao wakubwa...

Kuna mtu anaitwa Solomon Buch kutoka Nigeria sijui kama unafahamu, huyo jamaa ni maarufu sana Kwa kutetea wanawake mitandaoni huku akiwapondea sana wanaume, na ana wafuasi kibao.

Amevunja sana ndoa za watu huko kwao Nigeria Kwa kuwapa wanawake ushauri WA ovyo....

Ni aina ya watu wenye ushawishi mkubwa Kwa wanawake kama tu alivyo Iddy Makongo Kwa hapa kwetu bongo

Sasa tunavyoongea huyo mshikaji Solomo Buch ana kesi mbili za ubakaji zinazomkabili, Tena Moja ni ya minor... Yaani Sasa hivi hap hao wanawake anaowateteaga kila siku ndio wamemkalia kooni, wanamchukia balaha...
 
Hahahahaha...!! Shenzy kabisa

Kingereza Gani hicho kitanishinda???

Mimi najua mpaka Victorian slangs ambazo naamini wewe pamoja na kuishi kwako marekani huzijui..

I'm too high for your nut buddy
Ushawahi kumsikia mtu anaitwa John Stuart Mill?
 
Namjua sana tu ,hapa Tz yule mwana harakati uchwara wa wanawake sijui ndo anaitwa J.karia alikuwa kila siku ni kufitinisha ndoa za watu lakini cha kushangaza sasa hivi nasikia kapata mme yuko kimia.
 
Oya take a rest man.

I was just replying your assumptive ludicrous attributes about me in the similar wall of context and you have to catch feelings, didn't know if that para will throw you out of your solid emotional balance.

Have a chill Budda and reserve your energy for what you do best(kutetea wanawake).
 
Huwa mnatizama hivyo kwa sababu mmesha uaminisha ubongo wenu kuwa kila atakapo semwa tabia mbaya ya mwanawake basi umewashambulia wanawake.
Hii ni assumption.

Ukiandika madaktari ni wauaji sababu watu unawafahamu wamefariki kwa uzembe chini ya uangalizi wa madaktari,
Neno wauaji litareact tofauti kwenye ubongo kutokana na experience ya msomaji.

Wataibuka watu waliowahi tibiwa na madaktari kuwatetea.

Ukitaka uwe kwenye page moja na wasomaji wako usiache room ya assumptions, adress tatizo specific siyo kwa ujumla wake.
 
@
Robert Heriel Mtibeli
 
Ndio, namjua kama Moja ya wanafalsafa mashuuri nilimsomaga kidogo kwenye somo la GS.
Tatizo umemsoma kidogo kwenye somo la GS.

Ungemsoma vizuri kwa muda wako ungefuta ujinga wa msingi angalau.
 
Yaani we mtoa mada utakufa vibaya,Ukitaka kujua Mwanamke ana uwezo gani kamuulize Adam😁😁
 
Reactions: Tsh
Kuwa na amani boss. Ni angalizo tu nimekupa iwapo ni tabia uliyo nayo kwa wote unaotofautiana nao mtazamo.

I am always tranquility and hold no objection to perspectives that diverge from my own perceptions.

Sina tatizo na mashambulizi yako bila kujali unavyoyawakilisha.
 
Mtibeli mtoe kwenye hii orodha ya wanaume wanaongelewa hapa kwenye huu Uzi.

Mtibeli Huwa anagawa spana Kwa jinsia zote.

Hanaga tabia za kujipendekeza Kwa wanawake, kwanza Huwa anawachana sana Kwa kasumba Yao ya kuomba omba..!!

Mtibeli anakwambia mwanamke tegemezi asiyekuwa na kazi huyo hatakiwi hata kuwa mwanaume atafute kwanza kazi ndio afikirie mahusiano... Wee Mtibeli mtoe kabisa hapo kwenye orodha ya madume yanayoongelewa hapa
 
Yaani we mtoa mada utakufa vibaya,Ukitaka kujua Mwanamke ana uwezo gani kamuulize Adam😁😁
MUNGU: Adam upo wapi?
Adam: Nimejificha nipo uchi aisee.
MUNGU: Kisa?
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…