Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Vizuri, sasa turudi miaka kadhaa nyuma halafu tuapply hii theory yako, mtazame mama yako kisha mrudishe ujanani, halafu vaa viatu vya wanaume waliokutana na mama yako katika maisha. Awe au asiwe baba yako, ila alikuwa sehemu ya maisha ya mama yako either kwenye kupata kazi, msaada au fedha, apply fomula yako ya kila jenda ipambane na hali yake.
 
Sasa wewe ndugu unataka kila mwanaume awe na mawazo kama ya kwako? Haitawezekana..
Wewe kama umeamua kuwaponda single mamas waponde tu, mpo wengi mnao waponda haina tatizo. Na ambao hawajawahi kuona ubaya wao waache wawasifie. Maisha ndivyo yalivyo.
Huwezi kulazimisha kila mwanaume awe na mtazamo kama wa kwako.
 
Acha kupigana na wanawake. Kama huwapendi kabisa kaa nao mbali ila ukipigana nao kuna watakao inuka kuwatetea hata kama hupendi.

Jitahidi kuheshimu jinsia ya binadamu. Neno Jike linatumika kwa wanyama sio binadamu.
 
Kaka mbona ulikuwa mzima tu, umeanza kuchanganyikiwa lini? 😹
 
Kwa ajili ya hayo ndo wakizingua tusi waambie na tukiwaambia mna tuita wavulana?
 
Ningekupa kitabu usome ujielimishe lakini tatizo ni cha Kiingereza na najua Kiingereza hujui.
 
Mkuu hapo unabishana na pussy-whipped nigga hamtaelewana chochote.... Huyo ni mwanaume ambaye tayari anawaabudu wanawake Kwa sababu ya sex na wanaume kama hao Huwa ni hatari sana Kwa wanaume wenzao, maana hawaoni shida kukuangamiza wewe mwanaume mwenzie hili kuwafurahisha wanawake, maana tayari Wanam control.

Wanaume kama huyo jamaa ndio wamefanya Hawa wanawake WA kisasa hasa wa mjini wajione ni watu wenye thamani kubwa sana pamoja na kwamba wengi wao hawana Cha maana cha ku-offer, wamefanya wawe na madharau na viburi, Kwa sababu Kuna madume yapo kuwaabudu sababu tu ya sex na makalio.
 
You wish!!!

Unahubiri chuki, are you okay? Do better.
Kuwaambia ukweli ndo kuwachukia?
Nitawachukiaje wanawake wakati ndo walio nizaa na nina madada?
Tukiwapiga sipana acheni kuwatuma mabwana zenu kuja kutudhihaki kwa kutuita wavulana.
 
Uko sahihi sanaaa ndo mana wake zetu viburi vimezidi ,inafikia hatua unawaza kazini ,moto,maisha moto unarudi nyumbani moto kabisaaa
 
Reactions: ITR
Kwa ajili ya hayo ndo wakizingua tusi waambie na tukiwaambia mna tuita wavulana?
Hapana mkuu. Mwanamke anapofanya makosa anakemewa. Tatizo huwa hamuwakemei mnawasuta sasa wanaume wanakemea hawasuti.
 
Yaani mkuu yana kera sana.
 
Mnakosea.

Kutetea wanawake sio kosa, kosa ni kuwatetea bila sababu za msingi.

Tafuteni hizo sababu tunazotumia kuwatetea, mje nazo, hizo ndo tutajadili.

Mimi nitaendelea kuwatetea ninapoona inafaa.
 
Kuwaambia ukweli ndo kuwachukia?
Nitawachukiaje wanawake wakati ndo walio nizaa na nina madada?
Tukiwapiga sipana acheni kuwatuma mabwana zenu kuja kutudhihaki kwa kutuita wavulana.
Very emotional person you are! Kama Ashura vile.

Unaamini kuna mtu anamtuma mtu kumtetea mtu humu? ndivyo ufanyavyo?

Una enjoy mwenyewe tunavyokupa attention humu kwa kukujibu.

Grow up!
 
Ningekupa kitabu usome ujielimishe lakini tatizo ni cha Kiingereza na najua Kiingereza hujui.
Hahahahaha...!! Shenzy kabisa

Kingereza Gani hicho kitanishinda???

Mimi najua mpaka Victorian slangs ambazo naamini wewe pamoja na kuishi kwako marekani huzijui..

I'm too high for your nut buddy
 
Yaani mkuu yana kera sana.
Kwani ITR embu tuambie, una tatizo gani na wanawake?
Lilianza lini?
Baada ya kutokea nini?
Ni mfululizo wa matukio au ni tukio moja? Nini kikitokea huu mtazamo wako kwa mwanamke utafutika?
 
Achana na hao wanataka huruma ya utelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…