Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Kwa umri huu wa robo ya karne nisijue chuki na kukosolewa?

Hautaki attention yangu, unataka attention ya wote wanaokujibu.

Go heal!
Kwani sinimeweka mada ijadiliwe ?
Sasa mimi nichukue wanawake kwa lipi hali ya kuwa mama,dada,mashangazi mabinamu ni wanawake?
Kwanini mkikisolewa mnakimbilia kujikinga kwenye kivuli cha jinsia yenu?
 
Reactions: Cyb
Ukikataa kuhonga wanawake ovyo ovyo unaitwa "mvulana"
Hutaki kuhonga mwanamke wako, usihonge hakuna atakayekuita mvulana. Unaitwa mvulana ukianza mahubiri ya kiharakati za kupangia wanaume wenzako kuwa pesa zao wasihonge.
Ukikataa kuoa single mother, unaitwa "mvulana"
Hutaki kuoa single mother, usioe. Hakuna atakaye kuita mvulana. Ila ukianza mahubiri ya kushambulia single mother wote na kupangia chaguzi za maisha wengine lazima utakutana na mwenye mtazamo tofauti.
Ukisema huoi mwanamke asiye bikra unaitwa "mvulana"
Unataka bikra, OA bikra wapo wamejaa. Ila ukianza kushambulia walioamua kuwapa nafasi wasio na bikra lazima upate changamoto.
Yaani hata ukidai DNA test Kwa mtoto uliyezaa na mwanamke mcharuko unaitwa "mvulana"
Fanya DNA ila epuka micharuko. Zaa na wanawake wenye maadili. Tumia akili kabla ya kugawa mbegu, unazidiwaje akili na mcharuko?
Sasa hili usiwe "mvulana" itabidi uwe kinyume na hivyo vyote hapo juu.
Ili usiwe mvulana, Elewa kuwa binadamu hawafanani, usiwaweke wote kwenye chungu kimoja, binadamu anapofanya makosa anastahili nafasi, mwanamke ni binadamu.
Kwa ufupi tu hili usiwe mvulana itabidi uwe mwanaume fala fala unayeishi Kwa kufuata matakwa ya wanawake.
Ukiishi kwa kufuata matakwa ya mwanamke wewe ni Fala ndio. Tofautisha kufuata matakwa ya mwanamke na kumlinda mwanamke.
 
Vizuri.
Sawa, ulisema mwanamke huna chuki nae ila kafanyaje ndo maana unamshambulia?
Hakuna sehemu yeyote nilipo mshambulia mwanamke.
Bali nina pinga tabia ya wanawake na nyinyi wenye itikadi za kifemenist kutumia jinsia kama kinga pale wanawake wanapo kosolewa.
 
You will be fine bro. Suala lako limekuja kipindi kibaya... tuko bize na uchaguzi wa CHADEMA. Mnyampaa anamshambulia vibaya mno Sultani Mbowe....
Ww ni dhaifu sana mbele ya wanawake ndo maana unajiita mama Samia wakati ww ni dume zima.
 
Khaaaa ebu kunywa maji upunguze chuki wakitetewa au wasitetewe we unapungua au kuongezeka wapi. Ila jamani kuna watu wa ajabu kwa hiyo ndio ukaanzisha na uzi hahaha 🤣 🤣 🤣 pole yako
 
Mfano wa jambo gani ambapo wanawake walikoselewa halafu watu wakasema wasikosolewe kwa sababu ni wanawake?
Yapo mengi tu.
 
Yaani kiufupi ili uwe mwanaume ni lazima uwe bwege.
 
Hakuna sehemu yeyote nilipo mshambulia mwanamke.
Bali nina pinga tabia ya wanawake na nyinyi wenye itikadi za kifemenist kutumia jinsia kama kinga pale wanawake wanapo kosolewa.
Umekuja sasa. Tukielewana hapa, basi umemaliza mjadala.

Embu nipe tofauti ya hawa wakosoaji wawili wa mwanamke kwa mfumo wa kuwajibu ukosoaji wao.


Mkosoaji A,
"Wanawake wenye tabia za umalaya acheni tabia za umalaya na tunapowapa pesa msihonge wanaume wengine".

Mkosoaji B,
"Wanawake ni malaya, unawapa pesa wanahonga, Acheni umalaya, pesa zinatafutwa kwa shida"

Jibu hoja za hao wakosoaji wawili.
 
Watu wapo mawindoni Chief!

Unaigiza Gentleman jukwaani halafu unazama PM ni faster unaeleweka.
 
Reactions: Tsh
Hakuna sehemu ulioshambuliwa kwenye comment yangu, Bali nimekupa obvious facts ambayo ninaiona kuhusu wewe.

Una akili za kike, una haiba ya kike, kiufupi umeshakuwa kama mwanamke... Kwa comments zako ninazoziona humu ndani, ndio maana Kuna muda Huwa nahisi yawezekana wewe sio WA kiume.

Una tabia ya kureply vitu out of context just to fit your narrative which most of times stems from your deep down desire of serving gynocentric imperative as a glorified pussycat celebrated by feministic woke women.

Kuna siku nilikwambia Hawa unaowatetea ipo siku watakuvalisha sanitary pad wakifikiri wewe ni jike mwenzao, maana Huwa unawatetea mpaka kwenye upumbavu ambao wao wenyewe wanajua fika kabisa chanzo sio mwanaume, ila wewe Kwa ujinga na kujipendekeza kwako Huwa unahamishia lawama Kwa wanaume.

Sikuzuie kutetea wanawake pale panapostahili, ila kutetea wanawake huku ukiwasagia wanaume kunguni hata Kwa makosa ambayo wanawake wenyewe ndio wasababishi huo ni upumbavu na ndio kitu ambacho mara nyingi Huwa unakifanya humu.
 
Reactions: ITR
Yaani kiufupi ili uwe mwanaume ni lazima uwe bwege.
Yes uwe msengee msengee ambaye wanawake kwako ni kama malaika kama huyu jamaa tunayechoshana nae hapa kwenye huu Uzi.
 
Kwa hiyo tafsiri ya mwanaume ni kufanya na kuongea mambo yanayo wafurahisha wanawake?
Definition ya mwanaume ni pana. Na si kuponda wanawake wote as if kuna jambo baya wamekufanyia.
 
Nimesoma yote mkuu, ila sijaelewa hapo kwenye kingereza. Nina shida kidogo na kingereza.

Embu niambie maana ya pussycat na sanitary pad halafu nikujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…