Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nimsemeshe Sentensi ndefu hivyo? Kwanza nikiwaga mjini nakunjaga sura nikiwaona sina hata welcoming smile so akinisalimia labda awe na utindio wa kutoelewa kwamba huyu dada anaweza kunipiga. Mazoea na vifaranga staki. Yani mkaka anavaa suruali juu imejaa af kwenye viguu huku imemkwida kwiiii🤦🏽♀️ hawawaonagi wenzao wamevaa mashati na suruali wamechomekea smart hadi unasema yes this is a gentleman kamaUnakuta mtu anakwijia hizo nywele zake mpaka aibu kuitikia salamu yake, mie wahivyo akijileta namwambia kabisa sina pakukuficha kwanza naona aibu kusimama na wewe
Ni nyumbani anatoka hata mkewe yuko proud..
Kwakweli leo niweke tu kongole kwa wanaume wanaojipenda na kuvaa smart mi naoma hiyo ni alama ya kwanza physical kwamba unajiheshimu. Niwape tu congrats aisee , we acknowledge your effort in being gentlemen. Utanashati is everything na unaanzia kwenye mavazi.