Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Unakuta mtu anakwijia hizo nywele zake mpaka aibu kuitikia salamu yake, mie wahivyo akijileta namwambia kabisa sina pakukuficha kwanza naona aibu kusimama na wewe
Nimsemeshe Sentensi ndefu hivyo? Kwanza nikiwaga mjini nakunjaga sura nikiwaona sina hata welcoming smile so akinisalimia labda awe na utindio wa kutoelewa kwamba huyu dada anaweza kunipiga. Mazoea na vifaranga staki. Yani mkaka anavaa suruali juu imejaa af kwenye viguu huku imemkwida kwiiii🤦🏽‍♀️ hawawaonagi wenzao wamevaa mashati na suruali wamechomekea smart hadi unasema yes this is a gentleman kama
Ni nyumbani anatoka hata mkewe yuko proud..

Kwakweli leo niweke tu kongole kwa wanaume wanaojipenda na kuvaa smart mi naoma hiyo ni alama ya kwanza physical kwamba unajiheshimu. Niwape tu congrats aisee , we acknowledge your effort in being gentlemen. Utanashati is everything na unaanzia kwenye mavazi.
 
Umeanza kupanic sasa [emoji16]
Tulia upewe ukweli,
Kwanza alokwambia vipodozi lazima viwe na chemical ni nani?? Acha ushamba, wewe kama umekomaa ngozi usiwalazimishe na wengine wawe hivyo,

#Tunza Ngozi yako ujanani usije ukaitwa mchawi uzeeni
yahitaji gharama kubwa kukuelimisha
kuhusu mambo haya

wasema usiyoyajua, kunyamaza ni maamuzi mazuri
 
Ukizeeka ndio utajua umuhimu wa kutunza ngozi yako lakini utakua umeshachelewa halafu wa rika lako uliokua unawashangaa wanajipaka vipodozi wanapendeza nyuso zao hazina makunyanzi
Kwa mujibu wa wataalamu wa afya

Ngozi ya binadamu inatunzwa na kula matunda kwa wingi,maji ya kutosha,mazoezi,mafuta skala ya 300 inatosha ,labda kama una shida zingine za ngozi
 
Members wote nawasalimu katika jina la JF,

Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli.

Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "Warembo"

Baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana na wenye hela) vijana wakaona isiwe shida:

Sasa;
~ Wanatumia zile dawa za nywele aina zote (zikiwemo zile za kufanya kamtelezo fulani, mimi sijui jina lake).
~ Wanatumia zile dawa za kupaua uso (zinazoleta uzungu flani).
~ Haya marosheni ya kufanya ninini n.k.

Kijana jiamini wewe! Acha kuwa "Kijana wa hovyo" kama anavyosema mdau mwingne wa hapa JF.

Neno "Tafuta pesa" hapa lisitumike kwa sababu wapo vijana wana pesa lakini na wao...

Aisee inaskitisha! Kuanzia leo "Jiamini"
Uzi wako umeuwakilisha kiutu uzima. Maudhui yako Sawa kabisa ili kuokoa kizazi cha kiume. Hongera mkuu. Kazi njema. Usichoke!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
Ukiona hivyo anataka Katoto kenye sura ya kuringishia wanawake wenzake mtaani. Hapo tabia za Baba haziangaliwi tena!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hivyo anataka Katoto kenye sura ya kuringishia wanawake wenzake mtaani. Hapo tabia za Baba haziangaliwi tena!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Basi wasije kujiliza kwenye mitandao kwamba wao ni strong single mothers. Wanawajua single mothers kweli? Ni yule ambae hakwenda kushusha nguo kwa kitoto kisa kinalamba lips just in the name of mapenzi. Mi bwana wangehalalisha makofi.
 
Kujipenda ni jambo la muhimu sana kwa jinsia zote,ila ikifikia ile ya kujipaka ma cream ya kujichubua,kusuguliwa miguu,kusuka nywele,kutoboa masikio na kuchonga nyusi,kwakweli hapo mimi naona wanapitiliza,hapo lazima wale wanaume wa kweli waweke alama ya kuuliza????...
 
Vijana wanaojipodoa podoa Ni hawana hela, kwa hiyo wanatumia make ups ili angalau ku- catch attentions za wanawake.

Mwanaume mpambanaji/ mwenye hela huwa hatumii vipodozi, pesa zake ndo zinampa ujasiri mbele wanawake na watu wote kwa ujumla.
Ndio maana wanaume wenye sura ngumu wanakuwaga na pisi Kali Sana kudadeki.Na ukifuatilia vizuri utagundua majamaa wanakuwaga na mgwanja hatari.

Wanaume tutafuteni tu pesa hayo mengine yatajiongeza yenywewe.
 
Nimsemeshe Sentensi ndefu hivyo? Kwanza nikiwaga mjini nakunjaga sura nikiwaona sina hata welcoming smile so akinisalimia labda awe
Ubarikiwe wewe na waliokulea!

ikiwa wanawake wote wangekuwa na akili kama wewe, huenda Tz bado tungekuwa na uchumi wa kati!!
 
Nyie ndo mnahisi kuwa mwanaume lazima uwe mchafu mchafu unanuka jasho huna hata body spray.
 
Back
Top Bottom