Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
- Thread starter
-
- #41
Nimeelewa.wakiwa na mkewe mara kwa mara
shida ya binafamu ndio hii hakuna wema kabisa,akifanya hivi kosa akifanya vile kosaNimeelewa.
Huyo jamaa anatakuwa muoga sana.
Sio kwamba ni mwema bali anafanya yote hayo kuogopa ukaribu kati yako na huyo Bibie.
Na hapo jamaa mimi namuona Kawa mtumwa. tuu uliyotokana na mahusiano yenu ya zamani.
Daa dunia hii.
Kwa nini usimchukue huyo mtoto umlee mwenyewe?Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Aisee⦠Wewe umekuwa mkweli kwa nafsi yako!Nimezaa na wawili wote wameolewa na huwa tunawasiliana kila wakiwa na shida ya matumizi ya watoto. Kuna wakati tukipata muda huwa nawakaza tu. Maana najua hata wangu atakuwa anakazwa tu. Wala sijivungi wakinihitaji na nikiwa na muda...
Mwanamke uliyezaa nae hana ubavu wa kukukatalia hata kama mligombana. Humu wengi ni waongo ili waonekane wana busaraAisee⦠Wewe umekuwa mkweli kwa nafsi yako!
acheni ujinga kulinda ndoa sio hivyo kulinda ndoa ni mtu dhamira yake mwenyewe, huyo mke wa jamaa akiamua kuzini nayeyote anaweza kwanza anauhakika kiasi gani hawawasiliani..?Big up sana Mkuu, hi ni Best technique kulinda NDOA Yako na ya mzazi mwenzako
muda utafika na ntamchukua mkuu usihofuKwa nini usimchukue huyo mtoto umlee mwenyewe?
Mkuu,ule mpango wako wa kutafuta katoto ka nje umefikia wap?Kusiwe na mawasiliano ya moja kwa moja kati ya mzazi na mzazi, tafuteni platform nzuri ya kuwasilisha mahitaji ya mtoto, ila sio kupigiana simu kila mara.
Binafsi kulelewa mtoto na ME wenzangu naona ni kosa kubwa sana mwanaume unaweza kufanya.
Poleni mnaopitia njia hiyo!!
Tafuta mwingine mkuu..mi ninavyo vitoto viwili vya nje. Nina amani kabisa. Wala sitishiki na vitisho vya watu hapa JF kuhusu kuzaa nje ya ndoa. Nina mpango wa kuongeza mmoja wa mwisho wa nje ya ndoa.Niliupiga chini baada ya mwanamke niliyetamani kuzaa nae kunitolea nje kwa sababu zisizoeleweka.
Atoto
Toa ushuhuda wako namna gani unatoa matunzo kwao bila kuathiri familia yako na ya mzazi mwenzako.Tafuta mwingine mkuu..mi ninavyo vitoto viwili vya nje. Nina amani kabisa. Wala sitishiki na vitisho vya watu hapa JF kuhusu kuzaa nje ya ndoa. Nina mpango wa kuongeza mmoja wa mwisho wa nje ya ndoa.
Usizae watoto wote kwa mama mmoja.
Kuna ambao walikataa mimba, mtoto alipozaliwa.... Matumizi hutoi, matusi na masimango kibao....Kwa nini usimchukue huyo mtoto umlee mwenyewe?
UmemalizaKama unajua kuwa mtoto ana hitaji malezi ya baba na mama kwanini hamkuoana?
Cha kwanza sijazaa na wanawake wanao tegemea kila kitu kutoka kwa mwanaume mkuu..wazazi wao wanajiweza kwa asilimia kubwa katika vipato. .mimi huwa nawawekea tu amount fulani kila mwezi kwenye account ya UTT..mfuko wa watoto Fund ili iwasaidie hapo baadae..kuanzia umri wa miaka 18Toa ushuhuda wako namna gani unatoa matunzo kwao bila kuathiri familia yako na ya mzazi mwenzako.
Hili jamaa lina gubu mnoo aisee....MKUU mbona kama una ghadhabu sana kuna Nini?
πππMme mwenye mtoto na mzazi mwenzie yupo, moyo hautanuki???
Yes, mara nyingi ni ivyo ila si mara zote, Kuna wakati mwanaume mwenye mtoto anateseka, mwanamke anampenda, kazaa nae ila ndo hivyo hatakwi, kablokiwa kila sehemu hata mwanae kumuona tabu.Kuoa Mwanamke mwenye Mtoto na Baba yake yupo ni kujitakia magonjwa ya Moyo kutanuka, high blood pressure na Sonona