Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

wakiwa na mkewe mara kwa mara
Nimeelewa.
Huyo jamaa anatakuwa muoga sana.
Sio kwamba ni mwema bali anafanya yote hayo kuogopa ukaribu kati yako na huyo Bibie.
Na hapo jamaa mimi namuona Kawa mtumwa. tuu uliyotokana na mahusiano yenu ya zamani.
Daa dunia hii.
 
Kazi kweli.
Ila mimi naona mtu ambaye Hana wivu ndo aoe.
Kiumla mimi siwezi Fanya hio kazi.
Katika life langu. Mmmmh mimi hio NO.
Kama jamaa hapo hapo juu
 
Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Kwa nini usimchukue huyo mtoto umlee mwenyewe?
 
Nimezaa na wawili wote wameolewa na huwa tunawasiliana kila wakiwa na shida ya matumizi ya watoto. Kuna wakati tukipata muda huwa nawakaza tu. Maana najua hata wangu atakuwa anakazwa tu. Wala sijivungi wakinihitaji na nikiwa na muda...
 
Aisee… Wewe umekuwa mkweli kwa nafsi yako!
 
Big up sana Mkuu, hi ni Best technique kulinda NDOA Yako na ya mzazi mwenzako
acheni ujinga kulinda ndoa sio hivyo kulinda ndoa ni mtu dhamira yake mwenyewe, huyo mke wa jamaa akiamua kuzini nayeyote anaweza kwanza anauhakika kiasi gani hawawasiliani..?

ndoa hailindwi, ukianza kuilinda ndoa tena mwanaume kuanza kumlinda mwanamke jua umeanza kuingia chaka! wenye ndo wanatakiwa wajilinde wenyewe maana ni kiapo!.. kama mtu huwezi kuingia kwenye ndoa nakuenenda na hiyo ndoa kuwa kama sisi tu washenyentaji...😅
 
Kusiwe na mawasiliano ya moja kwa moja kati ya mzazi na mzazi, tafuteni platform nzuri ya kuwasilisha mahitaji ya mtoto, ila sio kupigiana simu kila mara.

Binafsi kulelewa mtoto na ME wenzangu naona ni kosa kubwa sana mwanaume unaweza kufanya.

Poleni mnaopitia njia hiyo!!
Mkuu,ule mpango wako wa kutafuta katoto ka nje umefikia wap?
 
Niliupiga chini baada ya mwanamke niliyetamani kuzaa nae kunitolea nje kwa sababu zisizoeleweka.

Atoto
Tafuta mwingine mkuu..mi ninavyo vitoto viwili vya nje. Nina amani kabisa. Wala sitishiki na vitisho vya watu hapa JF kuhusu kuzaa nje ya ndoa. Nina mpango wa kuongeza mmoja wa mwisho wa nje ya ndoa.
Usizae watoto wote kwa mama mmoja.
 
Toa ushuhuda wako namna gani unatoa matunzo kwao bila kuathiri familia yako na ya mzazi mwenzako.
 
Kwa nini usimchukue huyo mtoto umlee mwenyewe?
Kuna ambao walikataa mimba, mtoto alipozaliwa.... Matumizi hutoi, matusi na masimango kibao....

Leo kijana yupo std 5 unamtaka wa kazi gani.... Unafikiri ni rahisi rahisi kiasi hicho??
 
Toa ushuhuda wako namna gani unatoa matunzo kwao bila kuathiri familia yako na ya mzazi mwenzako.
Cha kwanza sijazaa na wanawake wanao tegemea kila kitu kutoka kwa mwanaume mkuu..wazazi wao wanajiweza kwa asilimia kubwa katika vipato. .mimi huwa nawawekea tu amount fulani kila mwezi kwenye account ya UTT..mfuko wa watoto Fund ili iwasaidie hapo baadae..kuanzia umri wa miaka 18
 
Mungu anisaidie Kuna mtu kunidhulumu mtoto hapo pwani, yaani nipoteza mtoto hivi hivi?. Ninachomuwazia ipo siku serikali itaingilia kati. He has influenced the denial of my accessibility to the child for almost two years now. Inaniuma mnoo.
 
Kuoa Mwanamke mwenye Mtoto na Baba yake yupo ni kujitakia magonjwa ya Moyo kutanuka, high blood pressure na Sonona
Yes, mara nyingi ni ivyo ila si mara zote, Kuna wakati mwanaume mwenye mtoto anateseka, mwanamke anampenda, kazaa nae ila ndo hivyo hatakwi, kablokiwa kila sehemu hata mwanae kumuona tabu.
 
Back
Top Bottom