Well said maana apo unakuta watoto wapo upande wa mama wanamuona Baba Yao kama mkosaji mkubwa wanaume tujiwekee akiba zetu hawa watoto na mke aisee watakuliza sana ukiwekeza kwaokumekucha !
ila nawashauri wanaume wajenge maisha yao ya baadae
manake mwisho wa siku hao wanaowahangaikia 85% hawana shukurani including mke na watoto
Hakika mkuu!!!Kumekucha Salama
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Tanzania Ni Tajiri [emoji485]
JPM
100%Well said maana apo unakuta watoto wapo upande wa mama wanamuona Baba Yao kama mkosaji mkubwa wanaume tujiwekee akiba zetu hawa watoto na mke aisee watakuliza sana ukiwekeza kwao
Loser!mali anazoondoka nazo melinda
View attachment 1772648
View attachment 1772649
View attachment 1772650
View attachment 1772651
Hii ya wamama hamzeeki ndio naisikia leo kwako kwa mara ya kwanza.....Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
View attachment 1772640
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inatosha mkuu,utamuuaLoser!
Kama nakutana na partner kama wewe kwenye harakati zangu nikajua ulikuwa unafuata mali zangu na ukanichezea akili tugawane nitakugaia ila ndani ya miezi sita utakuwa chini kwenye foot 6 huku mali zikirudi kwa wanangu kwa mlango wa nyuma!
Jaribu hii Africa uone,ila siyo kosa lako kosa ni baba yako kukulea ktk hali ya umaskini wake kiasi unataka kua-dobt tabia za kizungu kwenye uafrika wako,ukisoma mwanzo wa unaoshangilia kuachana kwao hapa utakuta melinda alipoajiriwa microsoft huko 80s na baada ya kutamkiana mapenzi aliwekeza zaidi akili yake pale sasa mianaake mingi ya Kiafrica hutaka kuolewa na waliokwisha fanikiwa hakika ujinga huu ukiuleta hapa hiyo shingo iliyoshikilia kichwa kilichovaa wig itagawanywa!
Dah natamani niione sura yako inavyofanana.Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
unaongea upuuzi wewe au ndio defensive mechanism?Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Uzuri mwanamke mwenyewe alikuta Bill tayari ana microsoft yake huyo maza alikua kijakazi kwny hio Co. kabla hajamuoa na huyo maza alishasainishwa prenup mwaka 1994.Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
KabisaUkishaanza kuiona ndoa kama ajira hata kama hulipwi ipo siku utaivunja ili upate malipo ya kazi yako.
Nafikiri tuanze kuwatumikisha ipasavyo ili mgawanyo uende kihalali hapo baadae.
By the way hakuna sayansi inayosema mwanaume ndio huwa kifaa chake huwa kinagoma akifika uzeeni. Labda awe na matatizo mengine. Wanaume tumepewa everlasting gift mpata tufe.
mali anazoondoka nazo melinda
View attachment 1772648
View attachment 1772649
View attachment 1772650
View attachment 1772651
Nyooooo....nenda kasome tena historia yao wewe..Kim kardashian alikuwa millionaire kabla ya Huyo kichaa
Mzee huyo apate mwanaume gani tena kwanza hana ladhaa yeyoteBill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Ma alkaida naona mmeshaanza kuja na propaganda zenu uchwaraHivi zile chanjo zake hazijaweza kuinusuru ndoa yake , malipo ni hapahapa yaani yeye alitegemea kuua wenzake dunuiani na yeye abaki salama?