Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Muke ya MUZUNGU. Vipi na wewe lini unamdivorce mzungu wako mgawane pasu kwa pasu?
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana,mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu,over
Ukiniacha na mihela yote ile tatizo liko wapi....mwanaume hazeekagi
 
Hata kwa waafrika katika kizazi hiki.Wanaume watafute hela mwanamke hata ukimgo... vp kama huna hela imekula kwako.
Kwa nini haswa unafikiri wanaume ndio wanaotengeneza pesa Jamani
 
Muke ya MUZUNGU. Vipi na wewe lini unamdivorce mzungu wako mgawane pasu kwa pasu?
15 years kwenye ndoa very strong mambo ya tantric .Haendi popote
 
Reactions: BAK
Angalia Wikipedia yake Melinda bwana .Melinda mwanamke wa Shaka suzyo Hillary ambae anaibiwa live

Hapo mzee wa kuku kitaani enzi zile tunakua bhana tulikuwa tunahadithia "nataka kuwa kama billgeti mzee wa kuku"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa aweza mpata hela nusu ya hela na aka bounce back

Yule Ni legendary investor hawezi fuliaNi mwanafunzi wa Warren buffet alieiva sawa sawa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Mwanaume wa kweli yupi

Body builder

Au mwenye mifedha [emoji1787][emoji1787]

Kwakweli mwanamke Ni kiumbe kisichoeleweka ni Kama virus hivi [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana,mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu,over
Kama Chriss Breezy
 
Shangazi yake melinda
 
Tuongee ukweli, kati ya Mwanaume na Mwanamke ni nani anayezeeka haraka hasa hasa kwenye via vya uzazi?

Jibu lipo wazi sana, Wanawake wakishafikisha 50+, tayari wanakuwa wameshazeeka. Sisi Wanaume tunao uwezo wa kupiga machine miaka yetu yote hata tukifika 90+
 
Kuna watu wana frustrations zao za maisha watataka kuzimalizia hapahapa kwenye talaka ya Bill and Melinda.

Wakati wenyewe Bill and Melinda wanaachana poa tu huku wakiimba wimbo wa "I Will Always Love You".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…