Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Technically sipendi vyakula ambavyo vina spices kwa wingi au vimepikwa kwa mafuta mengi
Kabichi sio mboga nashangaa namna neno mboga linavyotumika vibaya na baadhi ya watu humu

Bado natafakari yale majani sijui tuyatafutie jina gani kama mbadala...
 
Na sio kabichi tu, kuna yale majani ya kunde yale ni extreme kwa kabichi sijawahi yaelewa

Bora nitafune vidonge au nilambe palamarangret i could somehow feel much better than these shit
 
Bora kabichi kuliko majani ya maboga ukimeza kama unakula madudu washa
 
Hakuna kitu wanaume tunakiogopa kama tukisikia kinapunguza nguvu za kiume
 
Hahaha mimi ikatwe vidogo vidogo sanaaaaaaaa

Ikikatwa mikubwa sitaki ht kuona sura yake

Mchuzi wake ndo kabisaaaa
 
Watu wa Dar hamuishiwi visa...


Mimi naweza kaa na kabich nzima nikaila bila kupikwa na napenda kinoma...
Samahani but, uniwie radhi mzee.....mtarimbo unasimama vizuri.?...maana kabichi, spinach, chinese inasemekana zinaharibu mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…