Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Kabichi utumbo na wali..... hii combo ni πŸ”₯
Kabichi nalitembeza aidha liwe limekatwakatwa na kutumika kwenye kachumbari au limekaangwa tu na viungo kama kitunguu, hoho na karoti bila nyanya.

Wasiopenda kabichi wana lao jambo.
hiyo ya kabichi ya kukaanga na kitunguu,hoho na karoti naikubali sana,ila huwa naongeza na tangawizi
 
Kweli kabeji siyo kabisa... tena ikipikwa haina mvuto kabisa bora kwenye kachumbari... hata mm tangu utotoni nilishaikataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…