Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

Ni kweli fathers au father figures ni muhimu sana kwenye hii steji.

Mume wangu ana ukali na misimamo ambayo mimi sina sababu ya huruma, uwepo wake unasaidia sana kwenye kutengeneza nidhamu.
 

1. Huyo baba Anakidemu nje alafu wadogo wanajua ila hawawezi kusema kwa bimkubwa ila wanachukia sana!
Kinachotokea ni kwamba, mzee hata akiongea anaonekana sio msafi mbele ya macho yao!
wana kitu cha kumlipua mzee akiendelea ku implement pressure kwao. Sasa Hiyo kitu lazima ishushe credibility kwa mzee

2.mzee anaongozwa ha hisia mbaya za makisio dhidi ya watoto wake wa kiume.
Inawezekana ana hisia mbaya zinazosababishwa na barehe ya watoto haswa aki reflect wakat wake wa barehe yeye alikuaje!
Anapata hofu kwamba watakuwa na madem na tabia za kishenzi huko nje!
Haswa wanapoanza kuongeza demand za mahitaji. Kwa watoto wa kiume tunakuwa na hizi tabia tunapoingia kwenye hiyo stage alafu tupate dem
1.fixed fees za shule, yaan hapo mzazi utapigwa mizinga ya michango hadi basi

2.kurudi home mapema ni changamoto kidogo kitu kinachomchochea mzazi kuhisi labda kuna ufiraun mdogoli anaufanya

3.adulthood effects kama kujiskia vibaya akifokewa, akiagizwa kufanya jambo fulani(kama wapo wawili huwa mbaya zaidi) hapo anakuwa anahisi yy ni mkubwa astahili kufanya hicho wakati kuna mdogoli wake.
Hasira za karibu(hizi zinasababishwa na fighting for recognition!) Katka nafsi yake kuna kitu kinamsukuma aoneshe yy ni mkubwa na wazazi mlijue hilo! Hiyo ni hali ya kawaida kabisa na inadumu kwa muda mpaka pale atakapoanza kuhisi yes now i retain my respect..

Mzee apunguze tu mikwara aseeh kwasabb huo umri mtoto anakuwa nje ya dunia ya woga kabisa badala yake anakuwa na heshima tu ya kutambua huyu ni mzazi, but ni very limited si wa kujifanyia kila anachotaka kwangu kwasabab tu kanizaa!!

Mzee anataka kutumia ubabe umri wa kutumia maongezi zaidi!!
Fimbo ya kijana wa miaka ya barehe ni maneno! Amini nakwambia maneno yanamuumiza vibaya sana kuliko viboko vya matakoni!
Ajitahidi kutumia lugha zenye ukali lakini wa heshima(asitweze utoto wa mtoto na akakweza ukubwa wake kam mzazi)
Atumie lugha za michano ya kiume ile!
Sio ngonjera za bi kidude!

Kumbusho tu kw madingi!
Umri wa kuchapa na kufundisha watoto kwa nguvu ni huo mnaowadekeza na kuwaita majina yote ya upenzi kwa watoto(miaka 03-11)
Mtoto akipita huo umri hutakiwi tena kuendekeza ubabe kwa sababu tayar akili yake inaanza kupembua zuri na baya! Tumia maneno mzee
Naomba kuwasilisha

NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.

FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
 
Kwa mimi binafsi japo haukuniquote, mshua alikuwa ni mkali balaa! Ni kutii sheria bila shuruti..so boarding ndio lilikuwa kimbilio la kwenda kufanyia karaha za balehe...ktk kipindi hicho pia shida zenu na malalamiko yote tuliyapitishia kwa mama.
Asante kwa mchango wako Arizona 1

Daah sisi tumeamua kukaa na watoto na kutowapekeka bweni ila si rahisi kwa kweli.

Shukrani kwa babu na bibi zao, tunaishi nao karibu kwa watoto wetu huko ndiyo kimbilio lao wakiona tunawabana bana au kuwafuatilia sana.
 
Bahati mbaya sikulelewa na kukua kwenye familia yenye baba hivyo hio hali ilivyo nikuta nilikabiliana nayo peke yangu

Kwa sasa ni baba, najitahidi sana kujenga mahusiano na mtoto awe huru kwangu ili chochote kisicho cha kawaida kinapo mkuta awe huru kuniambia .

Hivyo hata atakavyo kuwa kwenye balehe yake kusiwe na uzio kati yake na mimi.

Nadhani mkipanda vizuri huku chini hakuna usumbufu mkubwa hapo mbeleni.
 
Watoto wengi wa kiume wanapokua hasa katika mazingira baba anajitahidi kuwa karibu nao huwa hawaelewi ILA kwa kuchelewa sana hugundua umuhimu wa baba.
Ni kweli ila nafikiri ni kipindi cha mpito tu.
 
Mkionyesha msimamo na uthabiti wa kuhakikisha wanatekeleza maono mlionayo juu yao bila mchezo, watazoea na wataibuka kuwa vijana wazuri sana..
 
Projection πŸ€¦β€β™€οΈ πŸ€¦β€β™€οΈ πŸ€¦β€β™€οΈ πŸ€¦β€β™€οΈ hayo yote uliyoyasema una uhakika nayo?

Sijawahi kumuongelea vibaya baba yao kwao, hata kama ninajua hapa mume wangu hayuko sahihi au ameovereact. Mimi na yeye ni timu moja kwenye malezi na anachosema yeye mbele ya watoto kauli yetu kwa pamoja (kama nina wazo tofauti nitamwambia tukiwa peke yetu na si kumbishia mbele ya watoto).

Ni baba bora sana kwa watoto wake, hakuna baya ninayoweza kulisema juu yake hadharani.
 
Itakuwa sio baba Yao wa damu sema kweli ulipewa mimba na nani???????

NO REFORM NO ELECTION
 
Umesema vyema, asante sana.
Nimeyachukua yote πŸ™ πŸ™ πŸ™
 
πŸ’― πŸ’― πŸ’― Ni kweli, acha tuendelee na hii safari kwa busara na upendo.
 
Of course asili ya mwanaume ni kuhishi kuheshimiwa. Wakati mwingi tunaweza hata 'demand' hio heshima kama Kuna viashiria vya kutokuwepo/mapuuza.

Hapo ndio shida inaanzia kwa sie wazee.

Last seen Enjoy Maisha.
 
Wewe ulikua umeshashindikana, lazima upigwe akili kama mwizi πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nina binamu yangu alikua kama wewe, siku moja nilimuona shangazi na mjomba wangu wamemfunga kamba kwenye nguzo za nyumba wanamchangia kumtandika na nyaya. Nilimuonea huruma nikahisi wanamkatili ila sasa hivi ni mganga mkuu mkoa flani na anawashukuru sana wazazi wake walimuokoa.

Wakati mwingine hakuna namna ni kuadhibu tu ili kupunguza ujinga la sivyo unampoteza mtoto.
 
Nilichojifunza katika uhusiano kati ya, mtoto wa kiume na, baba yake,
Kuna umri,miaka 0 mpaka 14,baba, anakuwa, ni, shujaa, kwa, mtoto, mtoto anakuwa, anatamani, kuwa, kama, baba, anamuona baba yake ndio hero wake, (kijana, wangu aliiga, na, akapenda kila ninachofanya, weight lifting, martial, art, ufundi umeme na magari, kuangslia series, kuendesha bike, gari kwa, speed, kutembea, u siku sana vichochoroni, bila uoga,) kuna umri 18-30, mtoto wa, kiume atqmchukia dingi yake, harafu, akiwa, na, familia, ndio ataanza kumuelewa, dingi yake for, na mzee akifariki, mtoto wa, kiume ndio ufumbuka na kuelewa logic ya kila kitu alichokuwa anafanya dingi!
 
Kwanza aliwakuzaje...
Kizungu mtoto nae ana haki za kipuuzi puuzi.
Ama kibantu, baba ni baba tu!?
Ama mixer?

Kama kizungu alishakosea, haswa mtoto anapofikia balehe.

Kipindi hiki kuna vi tabia fulani huwa vinajengeka kwetu, kutuna, kakiburi ka hapa na pale.

Mie nimekuwa baba ameshafariki lakini niliweza kujicontrol kwa yale makuzi niliyopewa na mzazi wangu.

Mtoto wa dada yangu, mie nilikuwa namsimamia ila alipokuwa akaanza kakiburi,
Siku moja nikataka kumuadhibu naona analeta za kuleta,
Nikampa nafasi akunje ngumi, kibaya zaidi akakunja basi nilimtwanga kama mtu mzima mwenzangu, mpaka alipopiga kelele ya kufa, ndio nikamuacha na kumueleza yeye ni mtoto tu akae awe na adabu..
Tokea siku hiyo akarudia kwenye kanuni za maisha, muda wa kula ni mmoja na ukifika awepo mezani, uhuru wake mwisho saa 2 kwenda kuswali baada ya hapo anakuwa mtaani, iwe ndani ama nje lakini nyumbani

Hapo baba mtu afanye maamuzi magumu.
 
Cha ajabu,sisi magangwe huwa tuna akili za darasani na maishani.Wa sasa hawa tusiwapige sana watavunjika.Sijui ni wa plastics?
NB;Oooh...man! I'm growing old now!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…