Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Tafuta kujua Nini anataka ili afurahi na umfurahishe! Hilo tu litakupa kuukamata moyo wake! Acha kuwaza pesa,waza huduma sahihi itakupa zaidi ya pesa unayoitaka.Wanaume wengi hawategemei kujengewa ghorofa na mwanamke ni vitu vidogo vidogo sana tena vinavyodharauliwa. Hakuna mkate mgumu kwa chai.Au hujui kama mwanamke anaakili nyingi kuliko mwanaume? Jeshi lenye silaha nyingi haliwezi kushinda vita iwapo halijui kuzitumia.
 
Hapo tena kwenye nyama steki umenikamata tena haya toa hizo kwenye 20
Nyama 6000
Nyanya 500
Viungo 1000
Nazi. 2000
Mchele 3/4 2000
Unga. 600
Mafuta. 1000
Mboga za mjn. 500
Sijaongelea mkaa Wala chai asubhi Wala sukari Wala matunda na sehemu sio ya kishua watu wawili πŸ˜€
 
Umeguswa kwenye sekta yako
 
Umeguswa kwenye sekta yako
Kwakweli ukweli maisha ni magumu vitu havishikiki kma mtu unakipato hudumia familia kma hauna bas jitahid hicho kidogo kiendane na uhalisia bas awe anajua Leo mumewangu Hana kweli kayumba
 
Kwakweli ukweli maisha ni magumu vitu havishikiki kma mtu unakipato hudumia familia kma hauna bas jitahid hicho kidogo kiendane na uhalisia bas awe anajua Leo mumewangu Hana kweli kayumba
Hahaha lazima unene kwa uchungu hapa najua
 
Sasa akupe laki nne zote za kazi gani?
 
Very well said, bahati mbaya hawa wake zetu wanaona upeo wa mcho yao. Ndio maana tunatakiwa kuishi nao kwa akili na busara sana.
Shida aliona wanawake weupe wakipewa laki πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…