HOP HOPPER
Member
- May 12, 2018
- 65
- 109
Tafuta kujua Nini anataka ili afurahi na umfurahishe! Hilo tu litakupa kuukamata moyo wake! Acha kuwaza pesa,waza huduma sahihi itakupa zaidi ya pesa unayoitaka.Wanaume wengi hawategemei kujengewa ghorofa na mwanamke ni vitu vidogo vidogo sana tena vinavyodharauliwa. Hakuna mkate mgumu kwa chai.Au hujui kama mwanamke anaakili nyingi kuliko mwanaume? Jeshi lenye silaha nyingi haliwezi kushinda vita iwapo halijui kuzitumia.Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.
Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............