Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Dah. UMEUA SOKO
Yaani nimesikia kitu kimepita shaaaaaa kumbe naliwa lipo humu Jf huwa tunatumiana pm na tunataka kuoana lkn kidole cha mguu kile kikubwa na mwenzake vimeachiana saaana,
Wanasema hiyo ni ishara ya kutanuka kwa mbususu

Au nasema uongo
 
Kwamba hawa wa mjini ni artificial and infertile?

Mijini mmekuwa soft kupita kawaida, hamfanyi kazi na kuanza kusingizia wanaume eti hawako romantic hawasaidii kazi za hapa na pale na pia wadada waliokuja mjini wenhi wenu zimekuwa za Ajabu sana kwa mfano ku normalize kuchepuka na kuwa na mabwana watano (sio wote lakini). Yaani shida kweli kweli
 
Poleni sana, ila usijumuishe wanawake wote wanaoishi mjini kwenye hizo tabia ulizozisema, that is totally wrong

Tabia ya mtu haibadiliki kwa sababu ya mazingira, unaweza kwenda kijijini ukakuta kuna mabinti worse kabisa, tabia mbaya zote ni za kwao mpaka wakipita barabarani watu wanatema mate, na haps mjini pia kuna wenye tabia hizo lakini kuna mabinti decent ambao wanamaadili na wanajitambua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila hao wadada wa Vijijini wamezoea kupigwa miti heavy duty si unajua kijijini watu wanafanya Kazi za kutumia nguvu kwa hiyo shoo yao ni heavy duty

Sasa ukienda kijana wa mjini Kazi laini za ofisini vitambi nk huwezi kumpa shoo kama ya wale jamaa kwa hiyo ni bora kukomaa na hawa hawa wa mjini wamezoea shoo za kimjini mjini.
 
Umoja wa wanawake wa mjini (UWAWAM)
Watalipinga hilo tegemea kupata ukinzani madhubuti
 
Kungwi...
Hivi kwani ili tumueke mdada group la wasiofaa tunaangalia sifa zipi au akiwa ametembea na wanaume wa 5 tayari hafai.. Au kuanzia wanaume wangapi anakuwa hafai tena??
Hoja ya kungwi hapa ni kwamba mdada hawezi kuwa na miaka 25+ hajawahi kudaka mimba. Usidanganyike, hayupo! Wengi washafanya yao.

Kama hajadaka basi Kisha jiharibu mzuunguko wa uzazi kwa vijiti na midonge.

Kujibu swali lako. Mwanamke mwenye miaka 25+ hafai kwa ndoa. Utanikumbuka.
 
So mkuu, unamaanisha sisi wavaa vinjunga wa mjini hatuwezi show heavy???
 
Mimi nimeambiwa kuna bikira hapa Moshi ..namsubiri hotelini..nitawapa mrejesho.
 
Kila mtu ana chaguo lake kuna wanaotaka submissive wife kuna wengine wana prefer mwanamke atakayewa challenge.... ila kiukweli wanaume wengi wanapenda prostitues in bed, na umala*ya unakuja na experience eti....
Sad truth hata uwe malaya vipi akiona ladha ingine atatamani aitaste...ni neema ya Mungu tu kumpata mume mwema ila na mwanamke tembea katika njia za Mungu. I think thats the only way ndoa zitadumu.
 
Sad truth hata uwe malaya vipi akiona ladha ingine atatamani aitaste...ni neema ya Mungu tu kumpata mume mwema ila na mwanamke tembea katika njia za Mungu. I think thats the only way ndoa zitadumu.
Maneno kuntu hayo πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Liwale huko kijiji cha mpigamiti.

Mkuu kizazi cha sasa hakuna mjini wala bush.. Kote wadada mileage zimesoma km za kutosha
 
Mambo ya NIKUSAIDIEJE ya Profesa Jay haya.......... wa kijijini wakija mjini kuchangamka ndo wanakuaga balaa yaan.
 
All in all, decent ni 5% only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…