Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Usiongee sana kuna mtoto yumo humu usiku huu nimeahidiwa utelezi akiusoma huu uzi wako atasanuka
 
Anakuwa amekata tamaa, wakati anakupa attention wewe ulikua huipokei, hakuna mtu asie na moyo wa nyama.
Inauma mno mtu unampa muda yeye anakuchukulia kawaida.
 
Reactions: apk
Kuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....

The less the fu<k you give, the more the fu<k you get, usimpe sana attention yako mwanaume hadi akaona attention yako yote amechukua. jifunze ku balance equation maana mapenzi wala sio magumu.
 
Tunataka sana tuu, ila tunaakili, siwezi kununua kiatu bila kujaribishia
 
Wanawake bhana unaweza ukashtuka usiku mtu amesimama pembeni ya kitanda ameshika Simu anakumulika na Tochi usoni 😀😀
Nimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangati la normal txt na DM's za Insta.

Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya moto😁
 
Chochea mahaba bibie upendwe

Tatizo lenu mkishaolewa mnaona mmeshamaliza kazi

Jiweke katika hali ya kumvutia mumeo na mahaba tele kama enzi za uchumba au ndoa ilipokuwa changa
 
Kuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....

The less the fu<k you give, the more the fu<k you get, usimpe sana attention yako mwanaume hadi akaona attention yako yote amechukua. jifunze ku balance equation maana mapenzi wala sio magumu.
 
Mnatakiwa mtuheshimu,sisi ndio tuwapende!Ndio Maana huyo alikupenda na Sasa kakuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…