Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Kuna wanaokimbiwa mkuu. Ndiyo maana maandiko yamekataza kumtegemea mwandamu. Maandiko yanasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Andiko hilo haliwahusu wanandoa ,wanandoa hasa ya kikristo Bible imeandika wanategemeana maana wamekuwa mwili mmoja,wakipendana kustahimiliana,kusaidiana na wamesisitizwa kutokuachanana hayo ya kutegemea wanadamu labda kwa wadangaji🤭🤣
 
Kuowa kidini pia Ni kukamilisha nusu ya dini. Ila kila mtu Ana lengo lake kuna mwingine anawaza utelezi ambao umesema unapatikana kirahidi nje.. Je huo wa nje Ni Halali. Watoto wanapatikana Kama ulivyosema Je Ni wa halali kama alivyoamrisha mungu. Na kuna watu Wamefanikiwa baada ya kuowa. Kwa hiyo hizo Ni sababu zako wewe. Kila mtu na sababu zake kwa sababu kila mtu Ana lengo lake katika hii dunia
 
utelezi ambao umesema unapatikana kirahidi nje.. Je huo wa nje Ni Halali.
Siyo halali. Lkn karibia 99.9% ya wanandoa wanautafuta . Wanatenda dhambi hii, hivyo dhambi hii haiepukiki.
 
Duuh mlimpiga misumari sana mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…