Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Ndoa humuongezea mwanaume heshima katika jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andiko hilo haliwahusu wanandoa ,wanandoa hasa ya kikristo Bible imeandika wanategemeana maana wamekuwa mwili mmoja,wakipendana kustahimiliana,kusaidiana na wamesisitizwa kutokuachanana hayo ya kutegemea wanadamu labda kwa wadangaji🤭🤣Kuna wanaokimbiwa mkuu. Ndiyo maana maandiko yamekataza kumtegemea mwandamu. Maandiko yanasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Siyo halali. Lkn karibia 99.9% ya wanandoa wanautafuta . Wanatenda dhambi hii, hivyo dhambi hii haiepukiki.utelezi ambao umesema unapatikana kirahidi nje.. Je huo wa nje Ni Halali.
Duuh mlimpiga misumari sana mleta madaWatoto wa mitaani wengi waliozaliwa na mama changudoa na baba asiyejulikana wengi huwa na mawazo haya
Changudoa aliyezaa mwanawe peke yake na baba mtoto waliyekutana uchangudoani aliyeyeyuka hewani au hausomewi basi na mitoto akizaa huwa na mentality hiyo hiyo kuwa huhitaji mume au mke
Familia imara zenye upendo wa dhati kwa watoto na zilizowalea vizuri watoto tamanio lao kubwa wakijua ni kuoa au kuolewa
Lakini watoto wa machangudoa neno kuoa au kuolewa ni.msamiati usiokuwemo vichwani mwao
Tatizo lako hapa ni background yako.Hahitajiki mtaalamu wa saikolojia kukujua maisha ya nyuma uliyoishi.Maelezo yako yanajitosheleza kukujua wewe ni nani