Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Sijaelewa. Mada inahusu umuhimu wa ndoa wewe unaeleza umuhimu wa baiskeli
 
For me nafikiria vitu km 3 or 4 hivi.
1.Dini imezuia kuzini
2.upweke ndio mana magonjwa ya akili yamewapata wengi kwa sasa.
3.itakupunguzia baadhi ya gharama nautaweza panga maendeleo yako
4.kiafya ukiwa nauhakika wa jambo la tendo akili inatulia. .hali yakulizika.
 
Kuna wanaokimbiwa mkuu. Ndiyo maana maandiko yamekataza kumtegemea mwandamu. Maandiko yanasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Ndugu usitumie maandiko vibaya, soma biblia nzima ndio uje udadavue uo mstari kwa upande wa ndoa. Tuache kutumia biblia kujustify uhuni.
 
Au una kaumaskini ka kipato mkuu? Yaani unapata raha kwa kukaa sebuleni??
Kwaujumla wewe ndio maskini, pesa anayotumia kutunza familia ni kubwa unayotumia wewe kufanya uhuni. Ukitaka kujua, ingia kwenye ndoa kimasihara uone halafu na familia itengenezeke. Watanzania vijana tuna karoho fulani cha inferiority complex na pia ushamba.
 
Kwanza ni baraka Za Allah kwajili ya ndoa
Pili mkee hana mashari ya time
Mkee atakusaidia kwenye shida na raha
Mkee anatunza Baker ya kufika malengo
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.


Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Ukitaka kujua utamu wa ndoa, ingia mkuu.

Haya maswali yako hayana mantiki
 
Kama Ni mzee wa dili na fursa,
Kina baadhi ya dili na fursa utazikosa Kwasababu hujaoa (yaan huaminiki)
Hivi Ruge alioa.. matajiri wangapi wameoa??!! Mengi pia ilimbidi arudi kuwa single akajakuoa alipoona mda wa ku retire umefika..

Vipi kuhusu Elon.. Billgate na Jeff Bezos wanandoa?

Kumalizia kabisa Yesu alikuja na mwili wa binadamu lakini alikufa Single [emoji23] [emoji23]

Yani Kama unataka kufanya mambo makubwa kuoa ni stress ya kuepuka.. bora kuishi kisela tu
 
Kosa hela siku mbili halafu uje
 
Hakuna cha kulinganisha na famili.

Kuoa ni jambo mhimu na la baraka sana. Katika ndoa ndo tunapata familia. Familia inajenga muunganiko ambao hakuna taasisi inaweza ujenga. Familia ndo mahala pekee wanakubali kuwa wewe. Japo wanaweza kukutukana, kukutenga, kukusema ila katika yote is for better.

Imagine maisha yako yangekuaje bila familia iliyokulea. Ndani ya familia ndiko nidhamu na kujifunza kuwajibika kunatengenezwa ili uje kuwa faida kwa jamii na taifa kwa ujumla.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…