Kuna dili zinapatikana ukweni,Toa mfano wa dili linaloweka marital status kama contigency...?
Mtoa mada najua vijana wenye umri wa chini ya miaka 35 ndo watapinga hili swala. But ukifika umri kuanzia 35 ndo wanajua faida ya ndoa. Ambayo hupelekea kujenga familia. Je Kuna kitu chenye thaman chini ya hua kama familia. Najua Kuna wajinga watakuja hapa kusema hela ndo Cha kwanza. Hao ni waongo. Faida za kuoaMkuu mke anaweza kukaa na upande wa kanga mwaka mzima. Lkn demu asipohongwa anasepa. Kwa ufupi wasiooa wanatumia pesa ndefu kudumisha mahusiano yao.
Mkuu njoo na hoja za msingi kuelezea faida za kuoa. Acha kumbwela mbwela
Asante mkuu. Hawa wameoa kwa kufuata mkumbo tu, maana hawatoi sababu zenye mashiko.kwa hiyo umeoa ili usionekane shoga, mshamba nk ,kifupi hapa huna hoja,
kwaakili zako wewe ukajua kuoa utabakia kuwa mme na mke tu😂😂😂. Basi ndio maana hujui faida ya ndoa. Swali unalojiuliza unashindwa kukaa chini na kudadavua msimamo wako unategemea mtu mzima mwingine akupe jibu tena linaloegemea upande wako, we unawaza deep kweli. Nani alikuambia ndoa ni kukaa na mke tu! Ulishaambiwa ndoa ni majukumu, mapenzi ni kipande tu. Ila wewe unakaa kuwaza gharama za kulala na mwanamke tu kwa siku. Boss, wewe ni mwanaume acha kuwaza leo tu, unatakiwa uwe nauwezo wa kudadavua zaidi ya leo. Basically unatafuta validation au justification ya kulala na wanawake tofauti😂😂😂. Jaribu kukua na kutake accountability ya maamuzi yako.Mkuu mke anaweza kukaa na upande wa kanga mwaka mzima. Lkn demu asipohongwa anasepa. Kwa ufupi wasiooa wanatumia pesa ndefu kudumisha mahusiano yao.
Mkuu njoo na hoja za msingi kuelezea faida za kuoa. Acha kumbwela mbwela
Wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu na unayeweza kuyachambua maisha yako, huitaji ushawishi ili kutoa maamuzi ya maisha yako. Kama huwezi kufanya maamuzi bila ushawishi basi kwaujumla wewe hujakua hivyo hujui unalolitaka. Maana ukitaka kufanya mauaji leo hutaomba ushawishi kwanza, bali utatekeleza tu.Watu hawaachi kusafiri ama kutembea kwasabb kuna faida kubwa isiyoepukika ktk kusafiri na kutembea. Ambayo ni kutafuta riziki.
Sasa tuambie faida kubwa ya ndoa isiyoepukika ambayo tusio kwenye ndoa itatushawishi
Hapana. Hata kumtegemea mwanadamu wakati wa shida ni kosa. Binadamu anapaswa kumtegemea Mungu kwa kila Jambo. Kuoa kwa lengo kwamba ukiugua mkeo atakusaidia ni kumsaliti (kumdogosha) Mun
Yeye ametoa tafsiri yake ila kwa mtazamo wake ila si kwa mtazamo wa kiroho yaani kupitia biblia, ila wewe ukamjudge kulingana na biblia. Ndio maana nikakwambia ukitaka kumjudge huyo mtu kupitia biblia basi tafsiri ndoa kwenye biblia ndio ujudge kupitia biblia. Hakuna shortcut!Sasa mtu anapotoa hoja kwamba ameoa ili kwamba akiugua mkewe atamsaidia. Huyu mtu huoni kwamba anamuoa mke afanyike kuwa tegemeo wakati wa shida (ugonjwa)? Kwann asimtumainie mola wake akaamua kumtegemea mke?
Hakika amelaaniwa mtu mume qma mtu mke amtegemea mtu mkewe ama mumewe.
Kuna watoto wangapi dunia hii waliozaliwa nje ya ndoa? Huo siyo uumbaji?Kuwa na ndoa ni kuliishi kusudi la Mungu hapa duniani katika kuendeleza uumbaji pamoja na ufalme wa Mungu duniani, hizo sababu za kupika sijui kufua na mengine ni added advantage tu.
Pia, watu wameziona faida ndio maana wakaingia kwenye ndoa. Wewe kutokuziona, usiseme hakuna sababu au zipo chache. Kutokuziona wewe sababu hazimaanishi kuwa hazipo. Chenye faida kwangu, kinaweza kikawa hakina faida kwako sio lazima tufanane, sisi ni binadamu sio programmed robots.Watu hawaachi kusafiri ama kutembea kwasabb kuna faida kubwa isiyoepukika ktk kusafiri na kutembea. Ambayo ni kutafuta riziki.
Sasa tuambie faida kubwa ya ndoa isiyoepukika ambayo tusio kwenye ndoa itatushawishi
Badala ya kuandika maandishi meeeeengi yasiyo na hoja na kutuchosha kuyasoma, tafadhali andija japo neno moja tu Kama faida ya ndoa. Kama huna kaa kimyakwaakili zako wewe ukajua kuoa utabakia kuwa mme na mke tu😂😂😂. Basi ndio maana hujui faida ya ndoa. Swali unalojiuliza unashindwa kukaa chini na kudadavua msimamo wako unategemea mtu mzima mwingine akupe jibu tena linaloegemea upande wako, we unawaza deep kweli. Nani alikuambia ndoa ni kukaa na mke tu! Ulishaambiwa ndoa ni majukumu, mapenzi ni kipande tu. Ila wewe unakaa kuwaza gharama za kulala na mwanamke tu kwa siku. Boss, wewe ni mwanaume acha kuwaza leo tu, unatakiwa uwe nauwezo wa kudadavua zaidi ya leo. Basically unatafuta validation au justification ya kulala na wanawake tofauti😂😂😂. Jaribu kukua na kutake accountability ya maamuzi yako.
Inaelekea hakuna faida ktk ndoa. Maana hata wanaunga mkono suala la ndoa kama wewe hawana hojaWewe ni mtu mzima mwenye akili timamu na unayeweza kuyachambua maisha yako, huitaji ushawishi ili kutoa maamuzi ya maisha yako. Kama huwezi kufanya maamuzi bila ushawishi basi kwaujumla wewe hujakua hivyo hujui unalolitaka. Maana ukitaka kufanya mauaji leo hutaomba ushawishi kwanza, bali utatekeleza tu.
Sasa si ututajie mkuu hizo faida? Humu jf Kuna watu wengi wenye uwezo wa kuchambya na kuchakata mambo. Tuambie faida ya ndoa ili tuchambue na kuchakata hizo faidaPia, watu wameziona faida ndio maana wakaingia kwenye ndoa. Wewe kutokuziona, usiseme hakuna sababu au zipo chache. Kutokuziona wewe sababu hazimaanishi kuwa hazipo. Chenye faida kwangu, kinaweza kikawa hakina faida kwako sio lazima tufanane, sisi ni binadamu sio programmed robots.
Tafuta hela mzee baba ili ukitaka kukanyaga mbunye mpya unaita tu Kama UberUjue kuna wakati umri unafikia hatua Haina maana tena kuwa unatapatapa mtaani unaenda unatiatia tuuu hovyo hovyo. Upweke wa kiuumbaji haujawahi kumuacha mtu salama hata kidogo
Kiufupi hawana cha kusema Kama faida ya ndoa ndiyo maana wanatafutiza visababuSio kweli, maybe if you work with stupid people, uninyime deal kisa sijaoa? that's a bullshit, anajaribu kukumanipulate uishi anavyotaka, those are kind of people who i dont associate with.
Slaa kagombea urais akiwa na mchumba tu.Kwa Tz huwezi kugombea nafasi ya juu ya uongozi kama huna mke halali wa ndoa.
Ref. Mzee Mkapa
Kama nimekupata vizuri kwenye maandishi yako unasisutiza kuwa faida ya ndoa ni:-Kijana wangu, ndoa ni tamaduni yakupasa kulielewa hilo. Ni moja ya mambo ya kale mno na yenye kujenga heshima na kuepusha jamii ya walioharibikiwa.
Nafasi ya ndoa bado ni jambo lenye busara, sisi wanaadamu tumepewa akili na tukaoana si wanyama wengineo ambao wao hawaioni thamani iliyopo katika ndoa hivyo kwao ni sawa tu kupandana.
Yakupasa ikikufikia muda sahihi uoe ili uwe ni sehemu ya wanajamii waliostaarabika. La hutaki kuoa sikushauri kupata mtoto nje ya ndoa.
70 mbali sana 50 tu hapoUkifika kwenye 70s utaacha kabisa kufikira na hata kusahau kabisa huo utelezi na mengine yote hayo bali utahitaji faraja tu. Simple ni kwamba mwanaume mwenye ndoa anapata vyote hivyo bila kuhangaika au kujichosha.
Lakini cha mwisho na cha muhimu zaidi ni anapata Familia ilyo bora.