Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Hatutaki kuishi kihuni huni na hatupo tayari kulipa kila tunapotaka utelezi, maana mda mwingine nye*e znakuja automatic sasa hadi ukatafute nje au upige sim mtu aje unakuwa ushapoteza pointi
Kwani muhuni hawezi kuishi na demu akaoata hizo automatic
 
mama D

Kuna wap*uzi wameanza tena kutania huku

Kama mama mwenye vijana wa kike na wa kiume nimesikitika sana

Mtoa maada ameongelea mambo kirahisi mnooo

Hakuna mwanaume mwenye upendo anaoaga washing machine, mpishi, machine ya kutotoa watoto, mfanya usafi au kifanyio cha ngono! Wanaume wote wenye akili zao wanajua wanachokioaga au kinachowapelekea kuoa. Hivyo vingine ni nyongeza tuu

Jasmoni Tegga
 
Lakini cha mwisho na cha muhimu zaidi ni anapata Familia ilyo bora.
Hapa tuwe wakweli. Huu ubora unapimwa kwa standards zipi? Hakuna mateja, mashoga na makahaba yaliyotoka kwenye ndoa?
 
Wanaume wote wenye akili zao wanajua wanachokioaga au kinachowapelekea kuoa. Hivyo vingine ni nyongeza tuu
Hicho wanachokipataga ndiyo tunaomba ukitaje ili tukipime uzito wake na tuone kama hakipatikani nje ya ndoa
 
Ninyi mliofikia umri wa barekhe (physical, mental, Biological, social and economic maturity) oeini.
Mtakuja kubishukuru sikumoja.
Taja faida. Usiwauzie mbuzi kwenye gunia
 
Ukitaka kujua utamu wa ndoa, ingia mkuu.

Haya maswali yako hayana mantiki
Faida za ndoa haziandikiki? Ingekuwa rahisi Sana kunishawishi Kama ungeorodhesha hapa faida za ndoa
 
Mkuu ningekuwa na namba yako ningekurushia hela ya supu. Majibu safi Sana haya. Nitayatumia huku mtaani kuwaelimisha wanaonipa kadi zao ili waoe
 
mtoa mada naomba kuuliza..wazazi wako walikulea wakiwa ktk ndoa ama ulilelewa na mzazi mmoja?

jibu lako ndio jibu la unachouliza
Mmmh! Kwahiyo unataka nikopi mambo ya wazazi bola kuhoji? Hiki ni kizazi cha kuhoji. Na maendeleo yanakuja baada kufanya marekebisho ktk mambo Fulani na huwezi kuyafanya mabadiliko kama unayabeba mambo bila kuhoji
 
Tumesema unaweza kuzaa hata bila ndoa na bado ukamuona mwanao. Hoja yako haina nguvu
 
Kwa mujibu wa maelezo yako tuliojisheleza kwa madili ya hapa mjini ndoa hazina faida.
 
Faida zako hizi zote zinajibiwa na sentensi moja tu " tafuta hela".

Ukishakuwa hela utayapata yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…