Uyo playboy wako ndio baba ajae wa watoto wako..? πKunigusa huwezi
Maana naongelea mwanaume ambaye anaenda kuwa baba wa wanangu na mume wangu. Hapo umalaya uko wapi? Akupotezee kwa sababu Wewe umeshupaza shingo hutaki kuelewa Uzi ulimaanisha nini umekazana kushusha ma essay sjui una stress huko mtaani. Relax jf sio ngumu ki hivyo.
Upo sahihi aisee, ipo chini ya viwango vya JasomHii movie ya the bee keeper niliingoja kwa hamu ilivyotoka tu nikaipakua. Nikajuta, mbovu kupita maelezo, yani ni kama bongo movie tu.
Kwa kweli ni kutoku react tu ndo dawa.Ukitaka kumu win players usireact matukio yake wewe muonyeshe umejua kisha mkaushie kuwa normal as usual
Kabisa mkuuUpo sahihi aisee, ipo chini ya viwango vya Jasom
ππππ sema chochote mkuu, busara zako zinahitajikaUyo playboy wako ndio baba ajae wa watoto wako..? π
Kila la kheri..Hayo anajua Mungu sio mimi
Ni ukweli wakati niliwapakuwa sana wawenyewe ila kuna siku almanusura nipakwe KY nadhani tangu siku hiyo sijarudia tenaWanaume wote tunajua, wanawake wanakuwaga kama na upepo flani hivi.
Mfano, ukiwa unatoka na wake za watu yan kuna ka upepo ka wake za watu kanakuwa kanakufata, ukigusa tu imo.
Utafiti wako una kitu kiongozi, ni sahihi.
Hapo umeongea, mwanamke anayependa mwanaume malaya, nayeye ni malaya mbwa.Mwanaume wanaoongelewa ni wale wachepukaji na wengi ni kutokana na suala la mke mmoja ndo unakuta anakuwa na vimchepuko viwili vitatu na anavitunza kama mke tu ni vile hawezi halalisha.
Players/Malaya au bad boys, mwanaume malaya sijui bad boys hana utimamu wa kutunza famila na ukiona mwanamke anapenda kuwa na player/malaya waziwazi ujue naye ni malaya au hana utimamu wa akili.
Yaani natamani nikupe hela ya soda na bites, unaongeaga point sana.Nimeusoma na kukuelewa ila umetofautina na wa kwangu.
Hakuna tatizo hapo ila regardless ya utofauti wetu uhalisia ni kwamba MALAYA NI WENGI SANA MJINI wanajifanya wanapenda badboys kumbe umalaya tu.
Mkuu, nimezipokea pongezi.Yaani natamani nikupe hela ya soda na bites, unaongeaga point sana.
Ndo hapo sasa, kama ni MALAYA MWENZIE je, si ndomaana wanaendana.Uyo playboy wako ndio baba ajae wa watoto wako..? π
Hahaha. Nazipokea.Hahaha basi umefurahii mwenyewe kupongezwa. Nakuongezea na pongez zangu
Huyo unaemuita player, unamuona ni handsome, huyo good guy unamuona ana sura mbaya, utakataa ila huo ndo ukweli cacuteeNipo na stresiwa na player mmoja hapa wakati yupo good guy mmoja ana show respect kiaina lakin moyo unamkataa.
Player akivurunda anapanga maneno hatoi nafasiii ππππ. Kila tunachopanga hakiendii
Player jamanii
Huyo unaemuita player, unamuona ni handsome, huyo good guy unamuona ana sura mbaya, utakataa ila huo ndo ukweli cacuteeNipo na stresiwa na player mmoja hapa wakati yupo good guy mmoja ana show respect kiaina lakin moyo unamkataa.
Player akivurunda anapanga maneno hatoi nafasiii ππππ. Kila tunachopanga hakiendii
Player jamanii
Zamani enzi zetu za Chandimu uwanjani kuna wachezaji wa aina mbili wapiga dochi wale wakubutuabutua alafu kuna wale wakutulia na kuangalia kushoto kulia kisha chenga mbili tatu wanaachia Pasi, sasa hawa wakubutuabutua ndio wanaitwa players kwenye Mapenzi ni wazee wa kubutuabutua hua hawatoi Pasi sasa ukishabutuliwa tuliaNipo na stresiwa na player mmoja hapa wakati yupo good guy mmoja ana show respect kiaina lakin moyo unamkataa.
Player akivurunda anapanga maneno hatoi nafasiii ππππ. Kila tunachopanga hakiendii
Player jamanii