Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona habari za kufuga wamama hutaki😂 kabisaaaAliowaambia hatutafuti pesa nani? Pesa inatafutwa ila ombaomba wapambane na hali zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida siyo mada,, Shida ni mtoa mada napata ugumu sana kuamini kama ni yeye kweli ama kuna mtu mwingine amempea account yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka mpya na mambo mapya.
Shida siyo mada,, Shida ni mtoa mada napata ugumu sana kuamini kama ni yeye kweli ama kuna mtu mwingine amempea account yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh basi huu mwaka uko na baraka mob sana,, kama hadi huyu naye.. [emoji2296][emoji2296]
Nahisi alivyopotea huko alikoenda alijitafakari,, akaona anatukosea sana.. [emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria umeolewa na mwanaume hana passion ya kutafuta pesa,watoto watakula mawe?
Tukiwa na huruma ya kuwapa papuchi mnatuita Malaya. Pambaneni tu na hali zenuUtakua kiumbe wa ajabu mwenye jinsia ya kike kama huna huruma kwa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muwe na huruma
View attachment 1314081
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh basi huu mwaka uko na baraka mob sana,, kama hadi huyu naye.. [emoji2296][emoji2296]
Nahisi alivyopotea huko alikoenda alijitafakari,, akaona anatukosea sana.. [emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu gentleman tangu muda tu,basi tu hujawahi kumuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo ni wewe huyu? Lizarazu
Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unamchukuliaje lizarazu jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu gentleman tangu muda tu,basi tu hujawahi kumuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliokwambia namuachia kazi za ndani yeye tu nani?!Mkuu swala siyo uwezo bali ni mgawanyo wa majukumu tu,, kwani hata mkeo anapofanya kazi za ndani wewe unakuwa hauwezi na kama unaweza kwanini umuachie yeye tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu mtoa mada amepinga mwanamke kutafuta,.. amesema licha ya kutafuta kwake(mwanamke) lakini ameumbwa kupokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nature gani ??... hiyo ni jamii imewaweka muwe hivyo mlivyo
Angalia ukiwa pemba hata sokoni huendi ,unakaa ndani kama kochi ila ukienda bara wanawake wanalima kama matrekta. Usiaminishwe na ukaamini wanawake fighters wanavutia bhhana
Fikiria umeolewa na mwanaume hana passion ya kutafuta pesa,watoto watakula mawe?
Mapenzi yatawalipia ada shule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh!