Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Mmhh basi huu mwaka uko na baraka mob sana,, kama hadi huyu naye.. [emoji2296][emoji2296]

Nahisi alivyopotea huko alikoenda alijitafakari,, akaona anatukosea sana.. [emoji2088][emoji2088]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu gentleman tangu muda tu,basi tu hujawahi kumuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoto naomba usinichonganishe na kaka yangu kwanza nilivyommiss hivi hadi kuna siku nikamlilia,, hivi haukuona ule uzi wa sweetielee unahusu sijui kuingilia mahusiano ya watu..

Tulikuwa mimi cute b lizarazu na relief mirzska aise ile siku tulichat vizuri jamani hadi hawakuamini wakaanza kunishangaa eti kumbe naweza kuwa cool kiasi kile,, walikuaga wananiona mie ni mtu serious sababu ya yale magazeti yangu nikawaambia nahi nahi mimi ni mtu wa matani sana neno serious kwangu ni vocabulary na hata wewe unajua hilo..
Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unamchukuliaje lizarazu jamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nature gani ??... hiyo ni jamii imewaweka muwe hivyo mlivyo

Angalia ukiwa pemba hata sokoni huendi ,unakaa ndani kama kochi ila ukienda bara wanawake wanalima kama matrekta. Usiaminishwe na ukaamini wanawake fighters wanavutia bhhana
Hakuna sehemu mtoa mada amepinga mwanamke kutafuta,.. amesema licha ya kutafuta kwake(mwanamke) lakini ameumbwa kupokea

Kiuhalisia kabisa na kibiblia(Naamini katika Biblia) mwanamke ameumbwa
Lakini pamoja na kufight kwake bado asili yake Ni kupewa na SI kutoa..
Mwanaume asili yake Ni mtoaji,provider,kichwa...

Mwanamke kutafuta pesa anafanya kwa mapenzi yake mwenyewe lakini siyo kazi yake.

Huko Pemba wako sahihi Sana...haya mabadiliko yamesababisha mwanaume kuanza kupoteza nafasi yake maana mwanamke anatoka kwenye nafasi Yake na kwenda kufanya katika nafasi ya mwanaume nadhani matokeo yake yanaonekana wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom