Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

Kuna vitu vitatu hautavikwepa.

1) Kifo
2) Kodi
3) Na mwanamke aliyekulia kwenye umaskini kuanza kuvimba akianza kushika pesa.
Hapo ndipo akili yenu huhitajika zaidi Castr..!
 
Kwani mwanamke akigundua mwanaume anapungukiwa mamlaka kwanini asijishushe ego yake ipoe ya Nini kuanza kijipaisha wkt anajua hawezi ku control Hiyo nguvu ya mamlaka
Swali lako nimelijibu kwenye thread tayari mpendwa..!
Mwanamke hakuumbiwa mamlaka, hawezi yadhibiti yanaishia kumuendesha yeye.!
 
Kwa maelezo yako, Kumbe tumeikosea adabu nchi kuongozwa na Rais mwanamke. Kuna maamuzi yanatakiwa yawe yanafanywa na wanaume.
Gembeson,
Sipo huko tafadhali sana.!
 
Upo sahihi Bro..!
Na kwa sasa hakuna kiumbe anapitia magumu kama kijana wa kiume wa kizazi hiki..!
Na kama umegundua wanaoongoza kulia hata humu ndani ni wanaume kuliko wanawake..!
 
Sitaki dharau na mwanamke atakula chuma ya kichwa awe na kipato ,sijui elimu sioni kama ataweza kuleta dharau kutokana na nilivyo siongei mara mbili kipogo tu
 
Ya kwamba tunafundishwa na mwanamke huyohuyo..πŸ˜‚
Umeandika vyema sana pia mdogo wangu Kenzy, lakini nitakushaurije kupambana na Malaria ilhali Mimi ni mmojawapo wa anopheles..??
 
you've said it all Mtumishi,
Hat off...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…