Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi guys,
Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..!
Swali lako nimelijibu kwenye thread tayari mpendwa..!Kwani mwanamke akigundua mwanaume anapungukiwa mamlaka kwanini asijishushe ego yake ipoe ya Nini kuanza kijipaisha wkt anajua hawezi ku control Hiyo nguvu ya mamlaka
Hahaa,
Wewe ungekuwa wa kike hata bure sikuchukui,
Joking mwanangu.
Upo sahihi Bro..!Dunia ipo busy kumpa nguvu(empower) binti, human rights kwa sasa zimelalia upande wa binti.
Tumesahau kuwa kumpa nguvu binti kunaendana na kumsaidia kijana wa kiume kujua nafasi yake katika jamii, jinsi ya kuishi na huyo binti.
Na bado, vijana watazidi kulia sana coz ni kama wanaona wamenyang'anywa nafasi yao, hawajafundishwa kuishi na huyu binti.
Lakini wewe sometimes phaller sana😂😂😂Siku nikipata hela naoa....😁
😂Ukituliaga unaye akili mdogo wangu, ila mpaka utulie tumejuta..!
Wataka kutuuma tu wewe..😂Umeandika vyema sana pia mdogo wangu Kenzy, lakini nitakushaurije kupambana na Malaria ilhali Mimi ni mmojawapo wa anopheles..??
you've said it all Mtumishi,Unayksema ni kweli. Lakini nafikiri matatizo yanaanzia mbali kabisa. Kwenye ile courtship na uchumba na mahusiano beforr ndoa ndo wengi wanapokosea.
Unapopata mwanamke, hata kama alikua na watu wengine befor you, ni muhimu kuformat hard disk ya akili ake na uweke ambayo inaendana na utaratibu wako. Carleen amesema ukweli, wanawake hawakuumbwa kuweza kucontrol power kubwa. Hivo ni jukumu lako kama mwanaume kumuonyesha njia inayopasa kufuatwa ndani ya maisha yenu. Mwanamke anaejielewa lazima atafuata, na pia ukimpa room for improvement mtatengeneza utaratibu mzuri sana unaofaa ndani.
Shida n kwamba tukipata mwanamke submissive tunavimba kichwa na kusahau kumtreat kama binadam na mpenz, tunaanza kumtreat kama kijakazi. Lazma akipata nguvu alete kisebengo kikali.
But mwanaume akiweza kusimama na kumuonyesha mwanamke kua yeye mwanaume ni kiongozi na mkewe ni msaidizi wake, they all make a great team