Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

Timulia mbali
Kabisa yaan nilitafuta chochoro nikachochora sikurudi tena na namba yake nikaiweka kwenye Spam folder mpaka leo sijui ana hali gani huko aliko
 
Mimi demu nimpe mwenyewe akiniomba kabla sijala mzigo simpi, ntamtoa out ale anywe ila cash hapana akitaka asepe wapo wengi
 
Nusu saa baada ya kutamka neno nakupenda,nakutaka pia๐Ÿ˜Ž
 
After that nitakuja kumwagiwa bila hata kuitwa.... daily Yaan๐Ÿคญ
Unamwagiwa tu kwa raha zako huku kibunda kipo mezani kinakutazama, ๐Ÿคฃ๐Ÿ™„
 
Ukitaka kumpa pesa mwanamke hakikisha hauna nyege kabsa , yani kichwa cha chini kisiwe na maamuzi kuliko cha juu.
 
Nikishamtongoza akanikubali, pontetial ya kuniomba hela nikampa ni 0.000001% mpaka nijisikie mimi, otherwise atakuwa kahaba kama makahaba wengine tu.
 
Wote hapo hawana hadhi ya kupewa kwa lengo la kutongoza. Kwa kama hao unaweza kuwapa kama ombaomba.
Ni kwamba mpe yule unayeona anastahili, wengine uwape kama vile omba omba.
Baada ya muda gani umpe? mpaka ufanye naye na pia uone anastahili kupewa.

Jibu la kuwapa ni "pole kwa ... lakini ningependa tujuane kwanza na nione kama tunaendana kabla sijaanza kuwa benki yako/ sugar daddy wako"
 
Hahahaha kwa mwendo huo tuwe tunawabaka tusitongozee tenaa maana imeshakuja janga la taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ