Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Unawaza kama mimiTatizo lenu wengi wenu shukrani kavu ya "asante" hamuitaki,mnataka iambatane na hela,mtazani labda mnawauzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza kama mimiTatizo lenu wengi wenu shukrani kavu ya "asante" hamuitaki,mnataka iambatane na hela,mtazani labda mnawauzia.
Ushauri wa kijinga kutoka kwa SIMP toleo jipya, ngoja uizoee ndoa kwanza afu ndo uje kutushauriPengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.
Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.
Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.
Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.
@Kaeni nao kwa akili.
Kama hukumu vileHivi huwa inasemwa "pole baby" au "asante baby"? Ni kipi hasa kinafaa, au vyote kwa pamoja?
Mmhh!! Wanaume Hawa Hawa tunaopishana nao , 😂😂 nipo nimekaa pale.Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.
Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.
Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.
Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.
@Kaeni nao kwa akili.
Kwahiyo huwa munazitoa na zinaisha zote!hawataki kukaa na shahawa zako hata kidogo😁😁😁😁
Hii safiKwanini wanawake ndo tusiwape assnte wanaume sababu huwa wanajitutumua sana.
NakaziaKwanini wanawake ndo tusiwape assnte wanaume sababu huwa wanajitutumua sana.
Pole na Asante akiitikia mkumbatie alafu mbusu akijichekesha chekesha ujue Bado huyo Mpe TenaHivi huwa inasemwa "pole baby" au "asante baby"? Ni kipi hasa kinafaa, au vyote kwa pamoja?
Kweli kabisaKwanini wanawake ndo tusiwape assnte wanaume sababu huwa wanajitutumua sana.
Na Jasho Lote Lile Na Tumwage Na Asante?Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.
Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.
Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.
Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.
@Kaeni nao kwa akili.
😀😀Kwa kuwa ni utaratibu mpya tupewe semina elekezi jinsi ya kushukuru
Mbinu Hii Ni Kwa Vijana Wale Walioanza Kutomb Baada Ya kuanza Kujipata Au Walioanza Kupokea Mshahara Baada Ya Kuwa Bikra KwA Muda Wote Walipokuwa Hawana Senti Ila KwA Sisi Tunaojua Kutongoza Wala Hatuhitaji Pesa Ili Tutomb Wala Kupendwa.Mpe pesa ya kutosha hata kama ni mkeo, utaona kila kitu kipo vema sana..!!
Hahahaha wewe ni kungwi aisee.Pole na Asante akiitikia mkumbatie alafu mbusu akijichekesha chekesha ujue Bado huyo Mpe Tena
Huwa nahudhuriaga vikao vyao nachungulia kutoka dirishani 😀😀
😀😀😀Wapi nawaibia notes zaoHahahaha wewe ni kungwi aisee.