Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Ushauri wa kijinga kutoka kwa SIMP toleo jipya, ngoja uizoee ndoa kwanza afu ndo uje kutushauri
 
Wanawake wajifunze kushukuru waume zao. Ufanye kazi, umridhishe kwanini asishukuru? Ana kila haki ya kusema asante mume.
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Mmhh!! Wanaume Hawa Hawa tunaopishana nao , 😂😂 nipo nimekaa pale.
 
Asante ni neno la shukrani linalotakiwa kutumiwa na watu wote kwenye familia awe baba, mama hata watoto. Mengine hayo ni u- feminism tu.
 
Hivi huwa inasemwa "pole baby" au "asante baby"? Ni kipi hasa kinafaa, au vyote kwa pamoja?
Pole na Asante akiitikia mkumbatie alafu mbusu akijichekesha chekesha ujue Bado huyo Mpe Tena
Huwa nahudhuriaga vikao vyao nachungulia kutoka dirishani 😀😀
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Na Jasho Lote Lile Na Tumwage Na Asante?
 
Mpe pesa ya kutosha hata kama ni mkeo, utaona kila kitu kipo vema sana..!!
Mbinu Hii Ni Kwa Vijana Wale Walioanza Kutomb Baada Ya kuanza Kujipata Au Walioanza Kupokea Mshahara Baada Ya Kuwa Bikra KwA Muda Wote Walipokuwa Hawana Senti Ila KwA Sisi Tunaojua Kutongoza Wala Hatuhitaji Pesa Ili Tutomb Wala Kupendwa.
 
Sikubaliani na wewe kabisa juu ya hili:

Mwanaume performance ikiwa chini atasonywa unataka aseme asante?

Mwanaume ndio mhudumiaji mkuu kwenye familia au hata mahusiano, hela atoe yeye, matumizi mbali mbali atoe yeye, bado aseme na asante?

Kwa mtazamo wangu tendo la ndoa kwa mwanaume ni sehemu ya mwanamke kutoa asante kwa mwanaume na anatakiwa hilo tendo alitoe kwa moyo, lakini pia kumbuka kwenye hilo tendo mwanaume anawajibika kuhakikisha mwenzi wake anaridhika, wa kutoa asante hapo ni mwanamke sio mwanaume, mizigo mingine hebu mtutue bado tunahitaji kuishi
 
Back
Top Bottom