Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Dah mchumba wangu ni mchaga, unanitisha mkuu.Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.
Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.
Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k
Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
Mchaga wa wapi?Dah mchumba wangu ni mchaga, unanitisha mkuu.
Hii ni kilimanjaro hii 🤣kilimanjaro au chuga
Wanawake waswahili hawana huu upuuzi...kwanza hawana hii lafudhi. Mademu wagumu na mijeuri wanapatika kwenu huko.Lafudhi ni ya kichaga lakini inatoa picha ya uongo. Wanawake w kichaga hawakosi heshima hivyo kwa waume zao. Infact niseme wanawake wa kichaga kwenye kuhudumia waume zao wako vizuri sana kwa sababu ni moja ya tamaduni za kichaga. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wanawake wa uswazi, uswahilini huko.
Rombo mkuuMchaga wa wapi?
Mchaga huyoMimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
View attachment 2985405
Ila sio wegi wanapenda pesa kiasi cha kua tayari hata kutoa maisha ya mwenza wake, hii character kwa asilimia kubwa wanayo wanawake wa kaskaziniMazee hizi tuhuma unazotoa siyo mpya. Kama nilivyokuambia hii ni stereotype ambayo imejijenga siku nyingi na kama unajua maana ya stereotype utajua kuwa kuna uposhaji mkubwa. Angalau kama kuna mtu angekuwa amefanya research na akaja na conclusion kama hizi nisingekuwa nabisha. Mimi kwa bahati nzuri nimetembea sehemu nyingi na nina experince ya maisha. Kama ni kupenda fedha binadamu wote wanapenda fedha ila wewe sema makabila mengine yalichelewa ''kuamka''.
MchagaMimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
View attachment 2985405
Kaoe mchaga ni malaikaWapare hawafai kuolewa! Waoane wenyewe kwa wenyewe! Yaani hao watu ni wabinafsi? Ving'ang'anizi na wachoyo na malaya waliopitiliza! Ili kabila ni konyo.
Waacheni basi waoane wenyewe kwa wenyewe. Kuna mtu anawashikia bunduki ili muwaoe? Ujinga mtupu!Ila sio wegi wanapenda pesa kiasi cha kua tayari hata kutoa maisha ya mwenza wake, hii character kwa asilimia kubwa wanayo wanawake wa kaskazini
Wenyewe mnawakimbia sahv mnakimbilia kuoa kanda ya ziwa mnawaacha wanawake wenu,,,maana mnajua iziraeli mda wowote anakutembeleaWaacheni basi waoane wenyewe kwa wenyewe. Kuna mtu anawashikia bunduki ili muwaoe? Ujinga mtupu!
Basi waache ''waoze'' bila kuolewa. Au na hili nalo linakukera? Au muwaambia wanawake wa kanda ya Ziwa wasikubali kuolewa na wa Kaskazini.Wenyewe mnawakimbia sahv mnakimbilia kuoa kanda ya ziwa mnawaacha wanawake wenu,,,maana mnajua iziraeli mda wowote anakutembelea
Hehehe.....acha nikapashe kwa manka,leo nna kibundaBasi waache ''waoze'' bila kuolewa. Au na hili nalo linakukera? Au muwaambia wanawake wa kanda ya Ziwa wasikubali kuolewa na wa Kaskazini.
Hapa sasa. Mtabaki huko huko ngono halafu mnapoishia kulala kwenye vijumba kama viota vya ndege mnasema wale jamaa ni wezi!Hehehe.....acha nikapashe kwa manka,leo nna kibunda
Bora kiota chenye muendelezo wa maisha kuliko majumba yanayobaki miaka hayana watuHapa sasa. Mtabaki huko huko ngono halafu mnapoishia kulala kwenye vijumba kama viota vya ndege mnasema wale jamaa ni wezi!
Kwanini asilimia kubwa ya wamama wa Moshi na mchane ni wajane?Lafudhi ni ya kichaga lakini inatoa picha ya uongo. Wanawake wa kichaga hawakosi heshima hivyo kwa waume zao. Infact niseme wanawake wa kichaga kwenye kuhudumia waume zao wako vizuri sana kwa sababu ni moja ya tamaduni za kichaga. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wanawake wa uswazi, uswahilini huko.
Duh kama ni siriazi basi n hali ya hatari sana ndani ya nyumba, alivyotupa na kuimwaga chai kama ni mimi mbona angeenda kuizoa na ainywe 😑Hii ni serious
🤣🤣🤣🤣kumbe una ukauzu mkuu?Duh kama ni siriazi basi n hali ya hatari sana ndani ya nyumba, alivyotupa na kuimwaga chai kama ni mimi mbona angeenda kuizoa na ainywe 😑
No hard feelings hapo, namwonyesha mlango wa kutokea, nabadilisha vitasa.Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
View attachment 2985405
Shida hio kama ni chupi mkononi maanake ukarimu umezidiHata mimi nilivyokuwa mtoto nilijua hivyo lakini wanawake wa kisukuma ni chupi mkononi tembelea mwanza,sengerema ,Geita uone single mother walivyo jaa na kusaza