Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Ingia channel ya Mark Laita YouTube "Soft White Underbelly" uone jinsi vyuma vikali vinavyofanya prostitution. Yaani kuna wanawake wale smart kuliko average girls, yaani mwanamke yupo kwenye level nyingine ya upeo, na bado ni pisi kali, lakini wanafanya prostitution.
Ukifuatilia hizo interview utajifunza ishu siyo uzuri mkuu, ishu ni maisha waliyopitia au wanayopitia ndiyo yamewafikisha hapo regardless of looks or intelligence.
Maisha yanaweza kukuweka kwenye corner moja matata ukajikuta umeingia kwenye anasa na biashara haramu.