Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Unazichukulia wapi hizo pesa? Hiyo haiuzwi inakodishwa tu, unachukiaje pesa isiyoyako?
Pesa inaingia kwenye simu
Pesa sio yangu ila kama wananitumia nikatae
😹😹Unaona Hali ngumu nikatae hela
 
Nilifanyiwa hivyo na mtu wa ndoto yangu, nikashindwa uvumilivu nikaruka ukuta, nilipodondokea likamea zao, nikalazimishwa kuvuna nilete ghalani ndiye huyo ananipa kichaa kila kukicha
 

Atakuwa kwenye early 3rd floor, anajaribu kuforce ndoa kwa kuona umri unamtupa!! Akiimaliza 3rd floor ataanza kuachia tena, anakuwa amekata tamaa completely!!
 
Niamini anatafuta mtu wa kumsaidia kulea jichanganye
 
"Ohooooo siwezi sema kitandani labda umasikini waaangu " ilisikika sauti ya nyimbo mpya ya diamond platnumz
 
Hivi kwanini wanawake wengi huwa wanadanganya kuwa wao ni bikra???
Au wanafikiri wakisema kuwa wao ni bikra ndo wataolewa??

Ni ujinga Fulani hiviii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…