Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Elfu SITA sio hela😹😹haitoshi ata nauli ya nusu safariAlufu sita mia tatu niliyokutumia inauma mpaka leo...ulisema unakuja mapema tu (joking) 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu SITA sio hela😹😹haitoshi ata nauli ya nusu safariAlufu sita mia tatu niliyokutumia inauma mpaka leo...ulisema unakuja mapema tu (joking) 😁
Uipige unipeee ukimwi😹😹😹Ukiileta kwa wahuni tunaipiga na hatutoi hata mia.
Endelea kukizungusha, mana n mali yako dada 😂
Is it my mistake😹jmniKwa sababu unachukua pesa za watu easily
Sijakupa elfu sita nimekutumia ulufu sitaa aangu 😁, nilikuja kukuona kumbe unakaa nyumba ya tatu umenipigaaElfu SITA sio hela😹😹haitoshi ata nauli ya nusu safari
Pesa inaingia kwenye simuUnazichukulia wapi hizo pesa? Hiyo haiuzwi inakodishwa tu, unachukiaje pesa isiyoyako?
Ullitaka nitembee kuja😆😆😆Sijakupa elfu sita nimekutumia ulufu sitaa aangu 😁, nilikuja kukuona kumbe unakaa nyumba ya tatu umenipigaa
Nilifanyiwa hivyo na mtu wa ndoto yangu, nikashindwa uvumilivu nikaruka ukuta, nilipodondokea likamea zao, nikalazimishwa kuvuna nilete ghalani ndiye huyo ananipa kichaa kila kukichaWanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
Naweza kufikiria kulikubali kama ni virgin otherwise aende zake huko.
Si bora ningekufuata tu nakukuzuga na azam ya ukwaju 😃Ullitaka nitembee kuja😆😆😆
Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..
Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.
Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Kuna dem aliwah niambia hvyo,nikawa nakutana nae tunapiga story na kumshika shika tu makalio,nikawa nimepotezana nae mwaka mmoja nikamkuta ni singo mama,nilibak kushangaa tu
Kumbe wakat mimi naishia kushika makalio kuna mjinga alikuwa anaipiga,afu alivyomjinga analeta mazoea tena kwangu anataka niwe nae
Hio Azam ya mia sita eeh😹😹😹Yani wewe unafaa vibokoSi bora ningekufuata tu nakukuzuga na azam ya ukwaju 😃
Kabisa, rakebisha tulete posaIs it my mistake😹jmni
Hali ngumu ndo hiyo hiyo siku utanyegeshwa mpaka utaachia Rudi kwa Wazazi tutakuja kutoa mahari, mallePesa inaingia kwenye simu
Pesa sio yangu ila kama wananitumia nikatae
😹😹Unaona Hali ngumu nikatae hela
Huu ndo ukweli mchungu mwanamke ambaye hakupendi lazima atakuambia hiviSijawahi ambiwa hivo na demu yoyote mkuu wewe ni mbaya hivyo mwanamke havutiwi na ww tafuta level zako
"Ohooooo siwezi sema kitandani labda umasikini waaangu " ilisikika sauti ya nyimbo mpya ya diamond platnumzHabarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..
Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.
Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Hata chafya sikupi, Mm n mbinafsi sana 😎Uipige unipeee ukimwi😹😹😹