Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Kama ni bikra sawa ila kama tashatobolewa nampiga chini saa mbili asubuhi, haiwezekani wengine ambao hawajamuoa awape kitumbua, halafu mimi nitayemuoa aninyime.
 
Hivi MWANAMKE BIKRA anaweza akawa anjiamini mbele ya mwanaume na akawa anamruhusu amshike shike hovyo?
 
Na
Hilo ndio jibu Sahihi na wanawake wote kazeni mpaka wote mtaolewa, haijalishi ndoa itadumu au la, faida ni hii, ikitokea ukazaa mtoto anatambulika vyema pande zote kuwa ni wao sio wa kuunga unga, pili mahari umekula na hayo ndo kihalalishio Cha tendo la ndoa, tatu hapo hakuna kuchezeana Wala kudanganyana, nne wataoa waliotayar kuoa sio mambo yakikaa sawa nitakuoa, Tano una Mme mdada wa Halali kabisa, SITA akifa utarithi kama vile wewe ukifa atakutithi, wadada rudisheni thamani yenu kwa kuingia kwenye mahusiano kwa ndoa.
Hapa nakuambia wewe si wao, si jukumu lako kumhudumia kwa chochote mpaka awe mke wako Wala hakuna haja ya kutoana out ya nini? Maongezi ni popote eleza shida Yako usijitaftie hasara. Kama gar ni la mtu wewe inalihudumiaje? Labda umelikodisha kwa maelewano maalumu. Oa uwe na haki zote kwa mke, Olewa uwe na haki zote za Mume.
Na matunzo naye asubiri mpaka ndoa mbona husemi?
 
Wanajua wewe mpitaji, unataka ule ukimbie..!!
Kwanini km kweli unampenda msijadili ndoa badala ya kutaka mbususu? 😹😹
 
Usimpe hela wala msaada wowote we kama unampenda weka shariti la bikra kama.hana na wewe usioe, mpige matukio sana tu weka evidence kwa mbaaali ajue kuwa una options ila usimwonyeshe hadharani
Akimjibu bikra anayo vipi atamuoa bila kuomba sex??
 
Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Kuna mpuuzi mmoja alinipima Ngoma Bila kupenda, shenzi yule!
 
Wanajua wewe mpitaji, unataka ule ukimbie..!!
Kwanini km kweli unampenda msijadili ndoa badala ya kutaka mbususu? 😹😹
Tatizo sio mwanaume kusubiri mpaka ndoa, ishu n je huyo mwanamke nae amejitunza kusubiri mpaka hy ndoa? Au wahuni wamejipigia afu anataka kijana wa watu anunue gunia bila mbuzi 😎
 
Siku hizi ukiomba uchumba usijaribu kuomba uzindue albamu kabla ya muda wake rasmi utakaoidhinishwa madhabahuni. Ishu ni kwamba we unaweza kuvumilia hadi siku ya uzinduzi ila kuna wahuni wanatafuna asali bila pingamizi, ndio maana ukiomba uchumba ukakubaliwa na albamu uzindue kabla ya wakati wake kutokana na hofu kuwa kuna watu wanakula huo mzigo unaousubiria kabla ya ndoa, inaudhi sana
 
Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Km umethibitisha ana bikra unaweza kumwelewa. Litobo limechoka akupe masharti atakuwa amekudharau.
 
Back
Top Bottom