Hilo ndio jibu Sahihi na wanawake wote kazeni mpaka wote mtaolewa, haijalishi ndoa itadumu au la, faida ni hii, ikitokea ukazaa mtoto anatambulika vyema pande zote kuwa ni wao sio wa kuunga unga, pili mahari umekula na hayo ndo kihalalishio Cha tendo la ndoa, tatu hapo hakuna kuchezeana Wala kudanganyana, nne wataoa waliotayar kuoa sio mambo yakikaa sawa nitakuoa, Tano una Mme mdada wa Halali kabisa, SITA akifa utarithi kama vile wewe ukifa atakutithi, wadada rudisheni thamani yenu kwa kuingia kwenye mahusiano kwa ndoa.